Shuhudia Mungu

Aiseee
Zaburi 23:1-6
[1]BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.

[2]Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

[3]Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza
Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

[5]Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.

[6]Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele. ...siwezi elezea ila Kwa MDA huu wacha niimbe hii zaburi na mfalme daudi
 
Toa ushuhuda!
 
Nilipita kwenye bonde la umauti
Nikapona kimiujiza sana
 
Mjinga anapokosa jibu la tatizo/changamoto/siri ya jambo hutafuta kisingizio cha kubeba hilo jambo liwe jawabu la tatizo/changamoto/siri hiyo

Uwepo wa Mungu haupimwi kwa kukutana na matatizo/kupata suluhisho la tatizo ambalo hukuwa na jawabu.

Tuache kusingizia hizi imani, tuipe akili+asili sehemu yake badala ya kutafuta sababu za kusingizia.

Mungu hausiki na hayo matatizo+changamoto zako...wake up guys
 
Reactions: Lax
Siamini!
 
Mungu huonyesha ukuu wake pale unapokuwa na shida ambayo watu wako wa karibu saana wameshindwa kuitatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…