Shuhudia mazishi ya CHADEMA Songea

Baada ya miaka miwili wataanza kulalamika...
 

Safi Sana Na Kuna Misiba Mingi Ya Aina Hiyo Inakuja Kuanzia Kesho ILA Kuna Uwezekano Pia Mkubwa Sana Pakatokea Sasa Msiba Wa Kweli Kweli Pale Jaji Mstaafu Lubuva Atakapomtangaza Rasmi Rais Wa Tanzania Hapo Kesho Kutwa Alhamisi Mnamo Saa 3 Asubuhi Kwani Kuna Watu WALIKOPA, WAKAKOPA Na Wamemaliza Juzi Juzi Tu KUKOPA Wakitegemea Kuwa Wakiwa Madarakani WATAZIRUDISHA Hizo Hela KIULAINI Na Mambo Yanaelekea Kwenda Ndivyo Sivyo Huku Mwanamume Wa CHATO TINGATINGA Akiendelea Tu Kuwasha Indiketa Yake Ya Gari TZ HAPA KAZI TU Kuelekea IKULU.
 
Umelenga penyewe Kiongozi.
 
Walisema et "plate namba imetondoka tutaisomaje?" hube ni kweli imedondoka? Je wameisoma sasa? "Hapa kazi tu"
 
Walisema hayawi, mbona yamekua...
Walisema hampati, mbona kampata...

Jamani vigele gele:-

Lelele lelele leleleee, aiii aiii aiii
 
Hili jimbo kwenda CCM limeniuma mno
Labda atabadilika na kutusemea huko Dom.
 
Jiandaeni kurudisha hela za kampeni there after michango ya elimu kuongezeka.
 
Hongereni sana, na pia hongereni kwa kuendeelea kuwa maskini!
 
Natamani watu wa Ruvuma wangepewa study tour kwenye ile mikoa iliyoikataa CCM wasingerudia makosa wanayofanya.

Mtabakia kusema hiyo mikoa inapendelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…