Kila siku naona matangazo ya kutafuta mchumba !
Je kuna waliowahi kufanikiwa kumpata atakaye??
Je waliwahi kuleta shuhuda humu na kuishukuru JF love connect!
Tena afadhali ukutane na kimeo ukajua kabisa kwamba ni kimeo kuliko ukakutana mbwa-mwitu mwenye ngozi ya kondoo utajuta. Wanajua kweli kucheza na hisia za watu hawa viumbe