Shughuli za kukata tiketi katika kituo cha Kivukoni zimesimama baada ya Umeme kukatika

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,565
3,730
Habari za mchana?

Shughuli za kukata tiketi za mabasi ya mwendo kasi katika kituo cha kivukoni zimesimama baada ya umeme kukatika.

1463396232371.jpg

1463396238872.jpg
 
Hii nayo changamoto! Yaani hakuna hata Back up generator? Kama sio basi walao kuwe na namna ya kuwa na back up battery kwa hizo machine na umeme ukirudi wafanye ku-upload data/info zilizofanywa wakati hakuna umeme! Bado tuna safari ndefu sana. Lakini pia hii isitumiwe kama njia ya watu kupinga mpunga tu!
 
kuna backup battery lakini haina chaji
 
Dawa ya hii nunueni tiketi za wiki au mwezi. Kwanza inakuwa bei rahisi kuliko kununua kila siku, pili ikitokea dharura kama hii wala hupati shida.
 
Sasa hapo umeme ukirudi baada ya 1 hr inakuaje? Haijakaa vizuri kwakweli
 
Back
Top Bottom