Shuga mamy

Wanaume wa dar mnapenda miteremko sana, mume wake atakutafuta tu ametumia lugha ya kuwa urudishe tu hela ili asikustue. Jipange kujazwa
 
mtumie anashida!
 
Subir kuliwa nyota mkuu
 
Samahani kjana, ' Ulipomaliza darasa la saba ulikuwa unajua kuandka,kuhesabu na kusoma vzur japo kwa lugha ya kiswahili?' Mimi kama mwanaume timamu simlaumu Huyo Mama Ila nakulaumu wewe kjana mwenzangu uliyekubali kula fedha ya Mama wa wa2 na ww hutaki kuonyesha ushirikiano hilo ni kosa kubwa sana ndy maana sometimes huwa tunapigwa risasi,kulogwa na hata kuliwa ndogo (0713.....) Kutokana na vsa.Ninachokifaham ni kuwa ndoa zinachangamoto nyingi sana unaweza kuta ndani ya ndoa Mama haridhishwi na Mumewe so ameamua kutafuta kjana wa kumkuna kiaina so zali likakudondokea ww,amini huyo Mama anapokupa fedha cyo kwamba hanamahali pa kuzpeleka ni kwakuwa tu mapenzi yamemjaa kichwani so, yeye kwa hivi sasa anaendeshwa na hisia na cyo ufaham na utashi wake...Jitahdi umrudishie fedha zake zote alizowahi kukupa na umwache Mama wa wa2 iliapate nafac ya kumtafuta atakayeweza kushika hyo nafasi na cyo ww tapeli kwa kuwa hata yeye ameshagundua kuwa ww ni tapeli ndyo maana ameamua kukudanganya ili urudishe hzo fedha ili aachane na ww kabla hajawa an absolutely looser
 
Kwanza sipendi huo msamiati "Sugar Mummy", huku ni kuwavunjia heshima wanawake watu wazima hasa wenye wapenzi wenye umri mdogo, jambo ambalo sio kosa. Pia neno "Marioo" watu mnakosea kulitumia...Marioo ni mpenzi wa kiume asiye na mchango wowote kiuchumi kwenye penzi lake na mwanamke bila kujali ni mkubwa au mdogo kiasi.

Watu wakipendana, waacheni. Kuhusu mtoa mada, ushauri wangu ni kwamba kama hukuwa na nia ya dhati na mwanamke huyo, ni heri ukaacha kujihusisha kimapenzi na wanaokuzidi kipato au umri maana unaonekana hujui namna ya kudeal nao bila kuleteana matatizo.
 
Asanteni kwa kushiriki lkn kwa usawa huu pesa sitarudisha na simu sitapokea
 
Mwambie ukweli huna hela ya kulipa, atajijua yeye na ujinga wake zero kabisa huyo mwanamke.
 
Kweli kabisa yaani ile kisela auvae uhusika. Dah inauma sipati picha mtu anahangaika dukani halafu u unaiba inaumiza sana...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…