Shs. 840 milioni za Yanga ziko mikononi mwa Al Ahly

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Yanga.jpg

YANGA inacheza na Al Ahly leo hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, lakini itaingia uwanjani ikitambua kwamba timu hiyo ya Misri ndiyo inayoshikilia utajiri wake wa takriban Shs. 840 milioni.

Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wanaikabili Al Ahly katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, na kufuzu mbele ya timu hiyo ndiyo tiketi ya kuingia...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Shs. 840 milioni za Yanga ziko mikononi mwa Al Ahly | Fikra Pevu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom