Chakula hiki kizuri kwa kina sie tunaohitaji express food after a long day at work!healthy and easy to make....ahsante mamiii
Nimepika leo hii kitu nimewaamua tushare pamoja...... Ennie life is Short King'asti amu mimi49 Swts MadameX Chocs Heaven on Earth Angel Nylon Afro-Arabica....
yummyyyyy....thanx for sharing
aisee nmebanwa weekend nna off katikati..but il try something and will share swiryAhsanteee.....vipi weekend hii utapika nini lol?
Nahis kama kulamba vidole kwa utam wa msos huu
aiseee huu uroho huu utanitokea puani..
Hahahaha kwanini?
kila chakula na kiona kitamu tu ndio sababu..
Hahahahaha basi sio uroho ati....kawaida tu
eti enheee maana nshaanza kuwa jinsi gani nianze kujifunza kupika hii kitu..
Eeeeeh soma maelezo...ni rahisi sana tu mbona..