Showoff: New Technology Forum Launched

Ambao hamjapata email yenye activation code nenda kwenye desktop au classic version ya emai yako unaweza kuikuta kwenye spam folder. Mimi nimeikuta huko na kuihamishia kwenye inbox kwa kuclick not spam
 
mkuu mimi nimejaribu kuregister nimefanikiwa tatizo sipati email ya activation, nimetumia version ya simu kufanya registration.

Pia hongera kwa kueka version ya simu. Hope itasaidia wengi

jaribu kuangalia kwenye spam yangu imeingia huko
 
Japo hujatumia jina lako halisi lakini nahisi wewe ni mmojawapo wa wadau wa kipindi cha MAISHA NA TEKNOHAMA (MORNING STAR RADIO).
Ongera sana.
Hapana ndugu yangu...
Mimi hata sio mtangazaji 🙂
 
Kumekuwa na tatizo la delay ktk activation. Akaunti zote pending zimekuwa activated. email activation imekuwa temporarily deactivated!
 
Reactions: HT
Hongera bwana,kiroho safwi
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HT
goodwork , hongera CTO
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HT
For Lovers of C++ I decided to write a series in case you are interested titled: wxWidgets 101: Building Professional Application with C++

Incase you want to know what its all about checkout thistable of contents for Beginners (the rest is undecided yet!) Begginer

  1. Introduction to C++ and wxWidgets Toolkit
  2. wxWidgets Architecture and Modus Operandi
  3. Simple Application
  4. wxWidgets Manual and Classes
  5. wxButton
  6. wxTextCtrl
  7. wxListBox
  8. wxPanel
  9. wxDialog
  10. Sizers and Layout Management
  11. Event Propagation
  12. Reading and Writing Files
  13. Simple Address Book
  14. Final Word to beginners
Here after will come Intermediate and Advanced tutorials.

These efforts are just to make sure that we raise the level of Tanzanian developers to professional Software Engineers!

Welcome!
 
Reactions: HT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…