Showdown against iran nears | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Showdown against iran nears

Discussion in 'International Forum' started by Mzee2000, Mar 6, 2012.

 1. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mimi nahisi BTW July-Dec. Mnaonaje?
   
 2. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Usilete thread zilizochoka. Walianza kusema wataipiga Iran tangu mwaka 2005. Kama wangeweza then wangeishambulia, hawakuweza wakati huo hawawezi sasa wala in future. Wakijaribu tu Israeli imekwisha, na wanajua hivyo. Hivi nisemanyo kuna makombora 27,000 yamelekezwa Israel na yanazidi kila uchao. Israeli itageuka jaa, unless wakianza kwa kushambulia kwa nuklia, jambo ambalo dunia haitalivumilia kwani haitaangamizwa Iran tu bali na hata nchi jirani.
  Iran haitaki kutengeneza nuklia kwa sababu hizi, kwamba huwezi kuzitumia.
  Kitu watakachokiweza labda ni kuanzisha vurugu za ndani zitakazopelekea kuangushwa kwa utawala, hasa baada ya vikwazo kuharibu maisha ya watu. Hilo ndilo wanalolitegemea na kulitarajia. Lakini hata kwa hilo, kwa vile niwajuavyo Wairan walivyo na hisia zao za utaifa, hawatakuwa tayari kuwaruhusu wageni hata kama wanachukia utawala wa sasa. Wairan walijaribiwa sana wakati wa vita vya Iraq wakati dunia nzima iliposimama na Saddam, Iran ikiwa pekee. Ilikuwa haiuziwi hata risasi. Pamoja na yote hayo wakaweza kuigeuza vita na ikawa Iraq ndiyo yenyewe inayoomba kusimamishwa vita. Usicheze na Iran. Haya maneno tu wanaabwata, hawawezi lolote kwa Iran. naomba umalize thread. Hakuna vita.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Iran siyo mchezo wewe. Kama waliweza kulishusha lile drone la wamarekani unadhani ni moto baridi wale?
   
Loading...