Huu uzi utaharibika siyo muda yatajaa yale matoto ya hovyo yanayopenda kuitana sijui cuzzo, my wiii halafu hayatumi chochote zaidi zaidi ya kujadili maisha yao binafsi 24/7/365. Yamevuruga zile nyuzi za Selfika, Umevaa nini zimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Hovyo kabisa....