Ebwana show ni balaa tumewazika rasmi wafu fm leo muheshimiwa mnyika'highness'mboye wote walikuwepo kutoa support kwa hii movement yaani watu weng balaa hakuna kutukanana show ya kistaarabu na aman tele'sugu katisha
Yeah wahuni tulifurika vya kutosha kumsikiliza sugu. Mmegemua wewe na virus wenzako. Tembelea facebook, blogs ama subiri mwananchi na tanzania daima la kesho uone shazi la kufa mtu lilivyokua hapo ustawi.