Hizi ni habari zilizoenea na zimethibitishwa na mmoja wa ma Promoter leo hii kwamba msanii Diamond Platnumz amegoma kwenda kufanya show yake kesho nchini UK katika mji wa NORTHAMPTON. Kisa waandaaji awajamkatia ticket ya ndege daraja la first class.
Kwa hiyo show imekuwa cancelled, watu wengi wako disappointed na baadhi ya watu waliokata ticket wameshaanza kurudishiwa pesa zao. Pole sana Dj Rule ambaye wewe uwa umekuwa ukimleta mara zote alizokuja kutumbuiza huku hata week zilizopita ulimleta.
Labda dogo ameshakuwa internation Super Star na Tuzo zake za Kili 7, akipata ya BET naona ataomba Private Jet.
Yes ni good. Kwanini wasitii masharti ya mkataba.
Hizi ni habari zilizoenea na zimethibitishwa na mmoja wa Ma Promoter Leo hii kwamba msanii diamond platnumz amegoma kwenda kufanya show yake kesho nchini UK katika mji wa NORTHAMPTON Kisa waandaaji awajamkatia ticket ya ndege Daraja la First Class ,kwa hiyo show imekuwa Cancelled, watu wengi wako disappointed na baadhi ya watu waliokata ticket wameshaanza kurudishiwa pesa zao, Pole sana DjRule ambaye ww uwa unamekuwa ukimleta mara zote alizokuja kutumbuiza huku hata week zilizopita ulimleta, Labda dogo ameshakuwa internation Super Star na Tuzo zake za Kili 7, Akipata ya BET naona ataomba Private Jet......
Na pia Diamond ameandika kupita mtandao wa kijamii na kusema kuwa show yake iliyokuwa ifanyika Northampton Uingereza tarehe 30 kesho imekuwa Canceled na sasa show iliyoko kichwani kwake yeye na crew yake ya wasafi ni New Jersey, New York jumamosi tarehe 31 itakuwa funga kazi kwavile atakuwa amepata muda mwingi wa kupumzika na tayari kwa show ya uwakika zaidi ya zile mbili za Dallas na Houston.
Tunaangalia mbele,nyuma mwiko,Tandale ilishapita sasa yupo level nyingine,safi sana umugabho wanjeJamaa kasahau tandale alikotoka????
diamond huyuhuyu aliekua ananuka ukurutu tandale leo hataki ndege duuuuh lahaaaula
Yaarishwa huko New York
Alichokisema Diamond mwenyewe kipo hapa. Si mbaya ukikisoma kama Hutojali
TEFLON TANZANIA: Show ya Diamond Platnumz Huko NEW YORK imehairishwa....Promoter Ndiyo Chanzo