Should You Run the AC or Open Windows ili u okoe mafuta?

akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
780
Likes
215
Points
60
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
780 215 60
Let's start by killing the myth that opening the windows is cheaper than running the air conditioner. The increased drag caused by opening the windows actually eats up whatever you save by turning off the air. A test at 65 miles per hour. Experts found no difference in mileage between air-on and windows-open. Consumer Reports tests agreed, but noted that at speeds greater than 80 km per hour, opening the windows cuts down kilometres by 3 percent.
Not only is it okay to run the air conditioner, it's fine to run it at full blast. Air conditioners are like furnaces: they operate at the same temperature no matter what you do. It's the length of time that they run that affects the temperature. The compressor, which uses up most of the power in an air conditioner, doesn't work any harder just because you've cranked up the level. The fan works harder, but it uses almost no power.

kuongeze tu hapo:
AC haiwezi kufanya kazi wakati injini imezimwa japo mara nyingi huwa naona wengi wetu tunaweka switch on then unawasha fan ukitegemea ubaridi...actually unakuwa unaua betri yako tu.
Pia hata wakati wa mvua/baridi unachotakiwa kufanya ni kuweka AC ON then unaongeza kiwango cha joto ndani ya gari yako na sio kuzima AC ila joto lisizidi sana maana litakuletea ukuungu na hutaweza kuona mbele, basically kichosababisha ukungu katika kioo ni kwamba hewa ya ndani ina joto zaidi kuliko ya nje so ili kuondoa hiyo hali ndo unashauriwa uwashe AC, huna haja ya kufuta kioo kwa kitambaa...samahani kwa wasio na AC kwenye magari yao!

wapendwa tumieni AC hakuna unacho save kwa kushusha vioo!!!
 
Obhusegwe

Obhusegwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2008
Messages
232
Likes
3
Points
33
Obhusegwe

Obhusegwe

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2008
232 3 33

Acha uongo!
 
G

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
1,247
Likes
61
Points
145
G

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
1,247 61 145
Hili suala hujalifanyia utafiti wa kutosha !
 
Obhusegwe

Obhusegwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2008
Messages
232
Likes
3
Points
33
Obhusegwe

Obhusegwe

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2008
232 3 33
ebu tupe "kweli" hata kama ni kwa maelezo kidogo tu.
Ukweli ni kwamba A inakula wese sana W washa kama una mafuta ya kutosha, kama huna usijidanganye na mmboya drau bra bra hapo juu
 
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
780
Likes
215
Points
60
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
780 215 60
let's debate with facts, iko hivi.
kuna vitu vya msingi kwanza inategemeana na hari ya hewa (upepo), ukubwa wa injini na pia uzito wa gari yako na mwisho ni uko mjini au nje ya mji (off road). Kama ni off road (high way) na umeshusha vioo maana yake ni kwamba unaongeza ukinzani kati ya upepo na gari so lazima kiwango cha mafuta kiongezeke maana italazimu gari litumie nguvu nyingi kukabiliana na upepo, tofauti na ambavyo ukifung vioo na kutumia AC, ukinzani unakuwa mdogo sana kiasi amabcho hata mafuta hutatumia mengi. Kwa mjini ni tofauti kidogo hasa kwenye foleni maana muda wote gari inakuwa iko idle tu na ili compressor ifanye kazi ni lazima kuwa na extra energy from the engine hence matumizi yataongezeka kidogo lakini si kiasi cha kutisha cha mtu kutotumia AC kwa lengo la kuwa una save mafuta maana kwa kila lita 5 ya mafuta AC inakula lita moja.
Binafsi nina theory moja kwa swala la serving kuwa kama mtu unaamua kufanya serving basi fanya kwa kila kitu sehemu zote, sio unashusha vioo kusave fuel wakati ukikaa bar hufanyi serving yoyote na unazungusha round kwa bidii kweli kweli yaani waiter akichelewa una foka balaa. so huna sababu ya kujitesa na joto kisa una save lita moja ya mafuta ambayo ni sawa na Tusker baridiiiiii moja tu. Mi huwa nasikitishwa sana na hii kasumba ya ku save fuel wakati unakuta mtu anaumia na joto ila jioni unamkuta bar...guys lets be serious! so what are you real serving for? why you should punish your self with heat, smoke and dust for the sake of serving a litre of fuel? ARE WE REAL SERVING?
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,927
Likes
8,879
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,927 8,879 280
AC inakula wese bana!!
 
Kyoombe

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Messages
805
Likes
183
Points
60
Age
68
Kyoombe

Kyoombe

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2011
805 183 60
save kuokoa. serve kuhudumu.
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
246
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 246 0
AC inakula mafuta, japo tofauti si kubwa sana. Jambo la msingi ni mazingira, mfano kama uko mazingira ya joto jingi kama kwenye foleni za dar ni vizuri ukawasha ac kwa sababu ukifungua madirisha bado utaingiza joto tu. Lakini kama uko mguu chini kuelekea Mbeya ni vizuri kufungua madirisha, kwana utapata hewa safi kutoka nje, itakuweka alive na kupunguza usingizi, pia upepo ni elert tosha ya mwendo unaotembea; MARA ZOTE KAMA UKO SAFARI NDEFU FUNGUA MADIRISHA KWA FAIDA YAKO!
 
Forum statistics

Threads 1,252,134
Members 482,015
Posts 29,797,628