MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Ni kweli kabisa kaka yangu usemayo lakini ukiangalia nyakati za sasa hakuna kitu cha mapenzi ya kweli hayo uyasemayo (at leasi wengi hata kuyajua hatuyajui) wengi tunaoa/olewa kutimiza taratibu za jamii ituzungukayo au kufuata mkumbo. Sasa panapokuwa na mapenzi yaliosimamia katika misingi ya aina hii ya "mradi nami nimeondoa nuksi" ukioa/olewa na mtu aliyeko kwenye extremes si kujitafutia presha tu?mmh..MJ1 nahisi unajidanganya lol
not least kama ukichukuliwa kuwa mapenzi hayabagui, hayana ukabila, sura, wala kipato,,
lakini kwa upande mwingine,, kama mmoja yuko juu zaidi ya mwingine kuna hatari ya kujisikia na kuanza kuwa na kiburi ambayo ndo mama wa matatizo mengi ndani ya ndoa,,
Unajua vijawa wa siku hizi tunaangalia wasifu wa nje sana kuliko wandani amesoma sana, maisha mazuri, lakini kuna yale mambo ya ndani huwa hatuyaoni wala hatuna muda wa kuyaangalia, upendo, ukaribu, upole kiasi yani matunda ya upendo thats why ndoa nyingi za siku hizi zina matatizo.
Ndoa za zamani zilidumu kwa sababu wazazi ndo walikuwa wanakuchagulia mke au mume, na wanaangalia uoe au uolewe na ukoo gani, na kama familia zinaendana kwa kipato na hali ya maisha ndo mana ndoa zao zilidumu walivumiliana.
wala hujidanganyi dada ukichagua wakati huu zingatia hivyo vigezo hapo juu, lakini pia wakati mwingine ni tabia ya mtu mwenyewe. mwombe Mungu katika hilo
Ni kweli kabisa kaka yangu usemayo lakini ukiangalia nyakati za sasa hakuna kitu cha mapenzi ya kweli hayo uyasemayo (at leasi wengi hata kuyajua hatuyajui) wengi tunaoa/olewa kutimiza taratibu za jamii ituzungukayo au kufuata mkumbo. Sasa panapokuwa na mapenzi yaliosimamia katika misingi ya aina hii ya "mradi nami nimeondoa nuksi" ukioa/olewa na mtu aliyeko kwenye extremes si kujitafutia presha tu?
Au niseme kuwa ninavyoona mimi kwa wasomi, wenye nazo, wenye sura na wale wanaofahamika sana hakuna mapenzi ya kweli ukilinganisha na wasio na visifa hivyo au?
Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). ...
Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). Hali hii imenifanya niwe nawaza kwa mtindo wa what if angekuwa vile na si hivi. Nikajikuta nashawishika kuamini pengine ingekuwa tofauti ingawa sina uhakika.
Kwa kuwa nimeshuhudia miparanganyiko kwa couple ambazo either mmoja au wote wa wenzi hao ni kama ni:
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
couple nyingi zenye combinations za namna hii au mmoja anayo sifa ya aina hii ( kwa experience yangu) huwa zinatend kuwa na migogoro ya mara kwa mara hadi nafikia kuamini kuwa ni bora tunapochagua wenzi tukajaribu kuavoid extremes i.e. msichaguane wazuri sana, wasomi sana, mwenye kipato sana au anayejulikana sana (after all hii itasaidia kupunguza gap kati ya haves and have-nots no?)
au najidanganya?
Naomba mnisaidie😱
Yeah ndo maana mm msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye sura mbaya na kavu kama anapuliza moto wenye Moshi mkali upo pale pale ukioa mrembo Mapapa au Mapedeshee wanaanza kukugongea aku hivi hivi ya nn ufe kwa kiholo MJ1,Nyamayao?
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
Yeah ndo maana mm msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye sura mbaya na kavu kama anapuliza moto wenye Moshi mkali upo pale pale ukioa mrembo Mapapa au Mapedeshee wanaanza kukugongea aku hivi hivi ya nn ufe kwa kiholo MJ1,Nyamayao?
Duuh na watoto wa siku hizi wanavyojua kuzuka wakigundua una fedha ama handsome basi kazi ipo.Hata kama huna kipato utalelewa tuNdoa ni zaidi ya hayo uliyoweka ila kuna ukweli kwamba bibi au bwana mwenye sura nzuri mara nyingi huwa vivutio vya mazingira hatarishi kwenye ndoa
Yeah ndo maana mm msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye sura mbaya na kavu kama anapuliza moto wenye Moshi mkali upo pale pale ukioa mrembo Mapapa au Mapedeshee wanaanza kukugongea aku hivi hivi ya nn ufe kwa kiholo MJ1,Nyamayao?
I think you are right dear Pretty, mengineyo ni matokeo tu.Haya mambo ya ndoa ukifikiri sana yanachanganya, muhimu pata mtu mliopendana na kufanana kitabia kazi kwishaa.
Haya mambo ya ndoa ukifikiri sana yanachanganya, muhimu pata mtu mliopendana na kufanana kitabia kazi kwishaa.