Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

true story.au wamefanya nini libya mpaka nchi za kiafrika zigipendekeze kufanya kazi na waasi waliopindua serikali halali ya col ghadafi?

Tangu lini serikali ya Gaddafi ikawa halali halafu ya NTC iwe haramu? Kama kupindua kunaifanya serikali ya NTC kuwa haramu basi hata ya Gaddafi ni haramu maana nae alimpindua mfalme Idris.
 

Kama hawawezi kuitambua serikali ya waasi, waliitambuaje serikali ya muasi Gaddafi!
 
.....
Na kwa kupenda sifa wajaluo hawa wasiomjuwa Ngaliba wala kwenda suna waliamua kuweka mapumziko eti kisa mkono wa sweta mwenzao kaingia white house...

Sasa kama si usakala ni nini?
Acha kuchangia kama vile una mtindio wa ubongo hapa, hizo lugha za vijiweni hapa sio mahali pake, nani kakuambia kuwa kila mjaluo hamjui ngaliba. Nadhani pana haja ya JF kuscreen out watu wasiokuwa wastaarabu, wasioelimika na wenye umri chini ya miaka 18, na pia wanaoshinda kwenye vijiwe vya kahawa, maana watu hawa wanaleta post zisizofaa na zenye dharau za kizamani za kikabila.
 
 
serikali ya tanzania imeshindwa kujisimamia ynyw huko kwa gadafi itawezaje?
 
 
siyo kila kitu kikifanywa na kenya ni sahihi.......vingine ni nuksi......wewe tangu lini ukawatambua vibaraka wa nato ambao wanaua wananchi wasio na hatia.....
Kenya wenyewe wamezoea kupata faida kwa hasara ya wengine.....ndiyo maana kuna pengo kubwa mno kati ya wenye nacho na wasio nacho........ Na napenda kuchukua fursa hii kuwaonya watu wa sudan ya kusini.....kaeni chonjo na kenya......mtakuja kulia..
 

Mkuu wa Katesh,

Unajua siku hizi humu jamvini kameingia kale kaugonjwa kanakoitwa Nairobi Flies....
 
Mkuu wa Katesh,

Unajua siku hizi humu jamvini kameingia kale kaugonjwa kanakoitwa Nairobi Flies....
Aisee mkulu Bantu sijui tutakatibuje kaugonjwa hako.....vinginevyo.....basi JF imeingiliwa......
 
Wewe umechelewa sana.Yaani unataka nchi yako ishirikiane na haya matapeli ya NTC.Hawa ni makarai ya wamarekani,hawana lolote.Most probably wewe ni Mason.
 
Tz inapima upepo kwanza, ikiona wengi wanaunga mkono ,usihofu utamwona membe anatoa msimamo!
 
 
Tuna puppet leaders ktk serikali yetu. Tz inategemea sana misaada na ndio maana inaogopa.. Idhubutu kufungua mdomo ione kama itapata misaada.
 
hebu google Gadafi alafu chagua ile wensite ya wikepedia utaona Gadafi urafiki wake mahali pa afrika kuna picha yake na bestii yake Hiyo yasema yote…….
 
kenya wamefanya vema, hivi mmesahau libya na ghadafi walimsaidia iddi amini kutuua kwenye vita vya kagera someni historia acheni libya ichapwe na ghadafi afie mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…