lady black
Member
- Jul 13, 2013
- 10
- 2
kwa yeyote anayejua kuhusu shotlist ya pspf vip wameshaitwa au na maximum ukifanya enteview unatakiwa usubiri majibu kwa siku ngapi
tayari yanafunguka mkuu! jaribu tenawametoa majina leo katika website yao ila bado inazingua kufunguka..
wametoa majina leo katika website yao ila bado inazingua kufunguka..
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa shortlisted nafasi ya compliance officer,nawaomba wanajf tuzidi kuombeana ili hatimaye wote tuibuke kidedea ktk mapambano haya ya ajira..mwenye taarifa juu ya mchakato mzima unavyoendeshwa atujuze tafadhali..List hii hapa.... Goodluck kwenu
upate gentleman pass chuo bado unataka uwe shortlisted???Most of shortlisted ni watu ambao tayari wako makazini,especial finance,operation,Bado urasimu na upendeleo upo
acha kukatisha watu tamaa!wengine tuna pass na bado tunakimbiza kwenye soko la ajira!kila application lazima wakuite maaana cv inajielezaupate gentleman pass chuo bado unataka uwe shortlisted???
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa shortlisted nafasi ya compliance officer,nawaomba wanajf tuzidi kuombeana ili hatimaye wote tuibuke kidedea ktk mapambano haya ya ajira..mwenye taarifa juu ya mchakato mzima unavyoendeshwa atujuze tafadhali..
mbona hawajataja venue ya hiyo interview?
Wakuu tusaidiane anaeweza kuanika hayo majina afanye hivyo ili wanaotumia simu waweze kuona kiurahisi
Umegeneralize sana mkuu. Majority tunatumia simu isipokuwa inategemea simu ya aina gani. Ukiwa na Galaxy sII + au simu yeyote yenye android os kila kitu kinawezekana.