Shosti la ukwee

Huyu msanii ni kinyaa tupu kwangu.
 
Muhudumu Eeeeeeeh, naomba niongeze kinywaji changu pendwa!
 
Ama kweli apewaye ndiye aongezwaye na hii ndo ile kaantangazeeeeee na kwa mi nimeipenda sana tena mtulivu wala hana mchecheto wala kiherehere na fil shululu wa bin tende wal haluwa wa bin maharuk kule mtendeni au darajani ungujaaaaaaaaaa sadaktaa kitoto cha forodhani
 
teh teh teh!!
Huyu kijana ana matatizo,ila ndio kazi !!
 

Duuu naona makubazi umeamua kubonyeza kizenji kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hivi hivi anaigiza kikekike mala anazoea mambo ya kike matokeo yake.....watu wanatwanga...
 
Wanawake tuna kazi...hivi kuna mtu anamuita huyu MUME WANGU...khaaa..!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…