Nyumba Kubwa amesema nilichotaka kusema. Kuna swala la ushirikina, lisiwe ignored hata kama mmepima na kukuta mambo safi. Au ana lispiritual wife ambalo huuwa wake wa kibinadamu, kufiwa wake 2 yatia shaka.
Maisha ni zaidi ya ndoa, na God's time is the right one. Asubiri na hata asipoolewa bado haimfanyi kuwa nusu binadamu!
mh,kuna kaukweli flan hv!
kwani huyo shosti wako anamiaka mingapi? Ili tuone huyo ni mbaba au ni mbabu?0 aliyempita 21years na ana mmpangowa kuoa bado?habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
mbaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????kwani huyo shosti wako anamiaka mingapi? Ili tuone huyo ni mbaba au ni mbabu?0 aliyempita 21years na ana mmpangowa kuoa bado?
mbaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????
kama huyo rafiki yako ameshazaa yaani keshawahi kupata mtoto sio mbaya akijitumbukiza kwa hilo lidady, ila kama hajazaa aachane nalo atafute kijana mwenzake ambae watakua hawajapishana miaka mingi, pia achunguze kinachowauambaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
hahahaa. . . ana kamgodi ka fedha!