JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 May 30, 2012 #1 Jamaa walitoa vi-nafasi. Nimekuwa nikifatilia magazetini mpaka sasa naona hata nauli inakuwa shida, ukizingatia napenda kufutilia mambo haya gazeti la Mwananchi = 800/= @. Mwenye taarifa za lini wanatoa hiyo shortlist nitafurahi akinijuza!
Jamaa walitoa vi-nafasi. Nimekuwa nikifatilia magazetini mpaka sasa naona hata nauli inakuwa shida, ukizingatia napenda kufutilia mambo haya gazeti la Mwananchi = 800/= @. Mwenye taarifa za lini wanatoa hiyo shortlist nitafurahi akinijuza!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 May 31, 2012 #2 Kuwa na subira,bado tuko kwenye mchakato wa kupitia maombi yenu.over
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Jun 3, 2012 Thread starter #3 Tumeshukuru!
A achilles Senior Member Joined Oct 10, 2011 Posts 109 Reaction score 18 Jun 4, 2012 #4 tujuzane wakuu mara watoapo shortlist
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 4, 2012 #5 short list bado maana ni siku yoyote katika kukamilisha ratiba ila wenye nafas zao wameshaanza kazi so tunasubili wafate protocal ya kuwainterview
short list bado maana ni siku yoyote katika kukamilisha ratiba ila wenye nafas zao wameshaanza kazi so tunasubili wafate protocal ya kuwainterview
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,221 Jun 4, 2012 #6 Man KKK said: short list bado maana ni siku yoyote katika kukamilisha ratiba ila wenye nafas zao wameshaanza kazi so tunasubili wafate protocal ya kuwainterview Click to expand... Source plz
Man KKK said: short list bado maana ni siku yoyote katika kukamilisha ratiba ila wenye nafas zao wameshaanza kazi so tunasubili wafate protocal ya kuwainterview Click to expand... Source plz
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 4, 2012 #7 zubedayo_mchuzi said: Source plz Click to expand... source ya nini yani we ni mtanzania au mkenya? source kichwa chako mwenyewe labda kama una ndugu pale apo waweza kubisha
zubedayo_mchuzi said: Source plz Click to expand... source ya nini yani we ni mtanzania au mkenya? source kichwa chako mwenyewe labda kama una ndugu pale apo waweza kubisha
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,221 Jun 4, 2012 #8 Man KKK said: source ya nini yani we ni mtanzania au mkenya? source kichwa chako mwenyewe labda kama una ndugu pale apo waweza kubisha Click to expand... man Kkk subir majina....
Man KKK said: source ya nini yani we ni mtanzania au mkenya? source kichwa chako mwenyewe labda kama una ndugu pale apo waweza kubisha Click to expand... man Kkk subir majina....
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Jun 4, 2012 Thread starter #9 Ndugu zangu tusivunjane mioyo. Tz yetu hatakama imekwisha sio kiivo. Tusubiri majina