shortlist ya PPRA nimependa kweli

shortlist ya PPRA nimependa kweli

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
utumishi waige mfano huo siyo kuita watu kibao,yani ratio yake imetulia kweli. angalia shortlist ya watu waloitwa kwenye usaili www.ajira.go
tz nafasi moja wameitwa watu watatu au wawili,nafasi nyingine kaitwa mtu mmoja tu kwa nafasi moja.
 
sasa nawew unakiwa utoe maaelezo hata kwa kifupi tukuelewe
 
kwa majibu ayo unayotoa, sidhani kama utakuwa mtumishi mzuri, jifunze kuwaelewa wenzio, ungefafanua hiyo ratio ipo vipi na utumishi waige vipi, kisha watakuelewesha.
 
Mm nshatawadha kwa kutanguliza nia bado lkn sijaelewa
 
utumishi waige mfano huo siyo kuita watu kibao,yani ratio yake imetulia kweli. angalia shortlist ya watu waloitwa kwenye usaili www.ajira.go
tz nafasi moja wameitwa watu watatu au wawili,nafasi nyingine kaitwa mtu mmoja tu kwa nafasi moja.

Sana hata me nmependa
 
kwa majibu ayo unayotoa, sidhani kama utakuwa mtumishi mzuri, jifunze kuwaelewa wenzio, ungefafanua hiyo ratio ipo vipi na utumishi waige vipi, kisha watakuelewesha.

mtoa mada hajajipanga, maana anapogeza na kuwaambia utumishi waige PPRA wakati kazi ya shortilist hiyo imefanywa na haohao utumishi? hata kama huwapendi utumishi wape sifa zao pale inapobidi
 
unasema hvo kwasababu kazi ya shortlist kwenye mashirika ya umma haifanywi na utumishi na inafanya na mashirika husika wanachokifanya ni kupeleka tu list kule utumishi kama ulikua hujui hapo leo ndiyo tumekujulisha.
 
Siyo kweli, Shortlisting itafanyajwe na mashirika ya umma ilhali tangazo limetangazwa na Sekretariet ya ajira na watu wameapply kupitia sekretariet ya ajira (PSRS)?

Kwanza ajira za utumishi wa umma mchakato wa recruitment haufanywi na utumishi bali unafanywa na Sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma(PSRS) ambayo imepewa mamlaka ya kuendesha mchakato wa ajira kuanzia Advertising,shirtlisting,Interviewing,selection na hatimae placement yaan kuwapangia vituo vya kazi wasailiwa waliofuzu!!

Mamlaka haya ya kuendesha mchakato wa ajira serikalini na mashirika ya umna PSRS wamepewa kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 km ilivyofanyiwa marekebisho na sheria namba 18 ya mwaka 2007 kifungu cha 29(1)

Hivyo,shortlisting hiyo ya PPR imefanywa na Sekretariet ya Ajira ktk utumishi wa umma(PSRS) ambao wengine huwaita utumishi na wala haikufanywa na PPRA kama udhaniavyo!!

Mwisho,km aliyeomba ni mmoja ulitaka waite wengine kutoka wapi?
 
kama ni PPR hiyo sawa,ila tulioko kwenye mashirika ya umma ndiyo twajua,hivi unafikiri kwanini sumtra,tbs wanatangaza kazi zao wenyewe ,najua huwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa
 
mtoa mada hajajipanga, maana anapogeza na kuwaambia utumishi waige PPRA wakati kazi ya shortilist hiyo imefanywa na haohao utumishi? hata kama huwapendi utumishi wape sifa zao pale inapobidi

ndio hapo sasa ndugu yangu, jamaa sidhani kama anajielewa. ndio aina ya watumishi watarajiwa hao.
 
kama ni PPR hiyo sawa,ila tulioko kwenye mashirika ya umma ndiyo twajua,hivi unafikiri kwanini sumtra,tbs wanatangaza kazi zao wenyewe ,najua huwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa

Hapa tunazungumzia PPRA ndugu,ofcoz yapo mashirika ya umma na taasisi za umma km TRA,NSSF,udsm,udom nk ambayo/ambazo huajiri kivyao bila kupitia sekretariet ya ajira,

Lkn pia yapo mashirika au taasisi za umma ambazo huajiri kwa kupitia sekretariet ya ajira km PPRA,mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA),wakala wa misitu TFS,bodi ya pamba TCB,IFM,CBE,mwl nyerere memorial college nk hawa ajira zao hupitia sekretariet ya ajira na mchakato wote hufanyika pale sekretariet na kisha kuwakabidhi kwa mwajiri wasailiwa waliofuza ili mwajiri aweze kukamilisha taratibu nyingine za ajira kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 ikisomwa kwa pamoja na kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003!

So usiwe unabishabisha ovyo ndugu!!
 
ndio hapo sasa ndugu yangu, jamaa sidhani kama anajielewa. ndio aina ya watumishi watarajiwa hao.

Anadai yupo shirika la umma sijui ni lipi,lkn uelewa wake juu ya mchakato wa ajira zipitiazo sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma ni finyu sana!
 
Hapa tunazungumzia PPRA ndugu,ofcoz yapo mashirika ya umma na taasisi za umma km TRA,NSSF,udsm,udom nk ambayo/ambazo huajiri kivyao bila kupitia sekretariet ya ajira,

Lkn pia yapo mashirika au taasisi za umma ambazo huajiri kwa kupitia sekretariet ya ajira km PPRA,mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA),wakala wa misitu TFS,bodi ya pamba TCB,IFM,CBE,mwl nyerere memorial college nk hawa ajira zao hupitia sekretariet ya ajira na mchakato wote hufanyika pale sekretariet na kisha kuwakabidhi kwa mwajiri wasailiwa waliofuza ili mwajiri aweze kukamilisha taratibu nyingine za ajira kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 ikisomwa kwa pamoja na kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003!

So usiwe unabishabisha ovyo ndugu!!

vijana wa mkapa ninyi bwana ngoja tuwaache!
 
Back
Top Bottom