Shortlist ofisi za bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shortlist ofisi za bunge

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by amaa, Aug 20, 2011.

 1. a

  amaa New Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello wanajamii kwa yeyote mwenye update ya ajira ofisi za bunge naomba kufahamishwa je wameshatoa shortlist zao???
   
 2. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  vipi unauhakika wa kuitwa au hawakusema kwamba wataatarifu wale tu waliowachagua?
   
 3. w

  winifrida Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watatoa ila wanachukua muda mrefu kidogo uwe na subira ndugu
   
 4. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watakuwa wanawafanyia induction course walio wajiri, hivi hujui nyie msiokuwa na info vizuri mnakuwa wasindikizaji tuu???
   
Loading...