WAR Member Dec 16, 2016 49 36 Mar 28, 2017 #1 Tujulishane kama kuna mtu ameitwa kwenye interview kwa nafasi zilizotangazwa na Amref Health Africa na World vision
Tujulishane kama kuna mtu ameitwa kwenye interview kwa nafasi zilizotangazwa na Amref Health Africa na World vision
Good People JF-Expert Member Aug 6, 2016 945 1,819 Mar 28, 2017 #2 Hivi World Vision Ndo wanataka hadi Vyeti Vya Ubatizo, Komunio, na Kipaimala?
WAR Member Dec 16, 2016 49 36 Mar 28, 2017 Thread starter #3 Good People said: Hivi World Vision Ndo wanataka hadi Vyeti Vya Ubatizo, Komunio, na Kipaimala? Click to expand... ha ha ha nafikili kwenye interview stage
Good People said: Hivi World Vision Ndo wanataka hadi Vyeti Vya Ubatizo, Komunio, na Kipaimala? Click to expand... ha ha ha nafikili kwenye interview stage
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Jun 23, 2012 12,320 11,322 Mar 29, 2017 #4 Naskia tayari from reliable source
WAR Member Dec 16, 2016 49 36 Mar 29, 2017 Thread starter #5 PATO8221 said: Naskia tayari from reliable source Click to expand... Tangu lini mkuu
WAR Member Dec 16, 2016 49 36 Mar 29, 2017 Thread starter #6 PATO8221 said: Naskia tayari from reliable source Click to expand... Ni world vision au Amref?
G ghetto masii Member Mar 19, 2017 57 52 Mar 29, 2017 #7 world vision wanataka kwenye wadhamin wako awepo mmoja kiongozi wa kanisa.. hapa mwislam usipoteze muda wako
world vision wanataka kwenye wadhamin wako awepo mmoja kiongozi wa kanisa.. hapa mwislam usipoteze muda wako
WAR Member Dec 16, 2016 49 36 Mar 30, 2017 Thread starter #9 OPERATION ENTEBBE said: Tayari tupo kazini ndg Click to expand... Mkuu ni Amref au World vision?
K katichi JF-Expert Member Nov 26, 2016 2,011 1,179 Mar 30, 2017 #10 Watu humu mnajuakukatisha tamaa daaaah mwenzenu anauliza interview lini nyie anasema mpo kazini kabisa haaaaaaaa Siku nyingine muwe mnatuambia mkiitwa interview haaaa
Watu humu mnajuakukatisha tamaa daaaah mwenzenu anauliza interview lini nyie anasema mpo kazini kabisa haaaaaaaa Siku nyingine muwe mnatuambia mkiitwa interview haaaa