Nilizokuwa na uzoefu nazo, flash zinakuwa na kama switch flani pembeni jaribu kuiturn off hiyo. Naamini utaiunlock na kama ikigoma ujue flash ina matatizo... Nilishawahi kuwa na flash moja ya hivyo ambayo ilikuwa imefungwa na haina physical switch, nilitymia software kufuta partition kabisa nikatengeneza mpya.
Tafuta that physical button kwanza alafu utupe feedback kama umefanikiwa.
-callmeGhost