Wakuu Nina swali kwa wataalamu. Hivi inawezekana shoti ikatokea kwenye control box na ikapiga hadi kwenye gear box sehemu ya reverse peke yake na kutakiwa kubadilisha gear box mpya? Je, hii inawezekana? Gari ni Nissan note. Engine Hr 15

Inategemea ni gari ya mwaka gani. Magari mengi siku hizi yana controller ya Engine (ECU) na controller ya transimission (TCM). TCM ikifa, basi transmission itashindwa kufanya kazi sawasawa, ila haitaathiri solenoids, valves na meno ya gears za kwenye transmission. Ila transmsiion ikipata matatizo basi TCM itatoa codes za kuonyesha kuwa tatizo ni nini. Kubadili transmission yote ni njia ya mkato na costly sana. Mara nyingi transmissions zikifa, unaweza kukuta ni valves zimeziba, solenoids zimeungua, au torque convereter imechoka. Vitu hivyo vinaweza kurekebishwa ukipata fundi mzuri wa transmission kwa gharama ndogo ulilinganisha na kubadilisha transmission yote. Elewa kuwa ujuzi wa transmission ni tofauti na ujuzi wa engine; siyo kila fundi magari anajua kutengeza transmission