Short course gani inaweza kumsaidia mtu ajira

Short course gani inaweza kumsaidia mtu ajira

Pierre2017

Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
48
Reaction score
28
Habari wakuu..naomba ushauri short course gani inaweza kumsaidia mtu wa elimu ya kidato cha nne ambayo pengine haitamuhitaji awe na experience ya muda mrefu ili aajiliwe!?
 
mitambo gani kiongozi!!?
Mitambo hyo kwa picha
_20190702_172313.JPG
 
Asome hii kitu kwa pamoja aelewe vizuri kwa vitendo ( udereva + ufundi magari + ufundi umeme magari + kupaka rangi magari) baada ya hapo mpe siku 7,kazi atakuwa nayo kama sio kujiajiri.
 
Wewe ukikaa ukajiuliza unavutiwa na kazi gani.. maana hata kujiajiri unaweza pia.. anachofanikiwa mwingine sio kwamba na wewe utafanikiwa..
 
utengenezaji wa viatu,sandals za kimasai,culture,etc
 
Back
Top Bottom