Must read thread zitakazojibu maswali yako mengiHabari zenu wadau, mm nahitaj kuagiza PlayStation 3 kutoka Ebay au Amazon au popote pale panapofaa,mtandao upi ni mzuri na shipping cost ni nafuu na Ni salama? Kwa kifupi sijawahi kutumia hii service, nahitaji kujua napaswa kufanya nn A to Z
Habari zenu wadau, mm nahitaj kuagiza PlayStation 3 kutoka Ebay au Amazon au popote pale panapofaa,mtandao upi ni mzuri na shipping cost ni nafuu na Ni salama? Kwa kifupi sijawahi kutumia hii service, nahitaji kujua napaswa kufanya nn A to Z
Amazon ni cheap kuliko eBay ktk baadhi ya vitu
Lkn nimegundua Amazon hawatumia paypal hivo ikitokea seller wako ni magumashi ujue % ya kula kwako ni kubwa pili Amazon wengi wanaship to US kwa asilimia kubwa hapo ndo utakapo wahitaji myus.com sasa
Utaratibu mzima tumia thread walizokupa na ongezea mmoja utakufundisha myus.com unaitwa "my first eBay shipment"
Kama hauna VISA CARD au MC bado ntakushauri utafute VISA card Travel au Cash card ya Banc ABC maana iwapo utapokea REFUND kutokana na uwizi utakao upata wa aina yoyote basi hela yako itarudi lkn ukitumia CRDB hautokaa uione hiyo REFUND utajaza FORM mpaka zitajaza file kubwa lkn hela hautoipata ng'ooo
Maneno yangu ni muhimu ukayafuata ili baada ya siku usije hapa kulia maana Import Good inamaanisha a Good can be FAULT,It may break up along the way,It may never reach the destiny in the expected time, and rarely it may never get shipped
Hapo utaitaji kufungua case iwapo utashinda itabidi urudishiwe hela(REFUND) Sasa usipofuata niliyoyasema utajuta
Mm ni mfanyabiashara mdogo tu nafanya imports nakuuza hivo najua vizuri tu
Mkuu hapo mi ntakupinga kidogo maana mimi natumiaga mastercard ya CRDB juzijuzi nilinunua item kutoka kwa seller wa US nikalipia shipping ya USPS First Class Express lkn cha ajabu seller huyu shipping cost akaweka kibindoni akapost item km normal letter hivyo mzigo ukachelewa na ukakosa tracking ilibidi niopen case ktk ebay na nikashinda nikawarefunded kupitia account yangu ya paypal na hela ikawa transfered kwenda acc yangu ya CRDBAmazon ni cheap kuliko eBay ktk baadhi ya vitu
Lkn nimegundua Amazon hawatumia paypal hivo ikitokea seller wako ni magumashi ujue % ya kula kwako ni kubwa pili Amazon wengi wanaship to US kwa asilimia kubwa hapo ndo utakapo wahitaji myus.com sasa
Utaratibu mzima tumia thread walizokupa na ongezea mmoja utakufundisha myus.com unaitwa "my first eBay shipment"
Kama hauna VISA CARD au MC bado ntakushauri utafute VISA card Travel au Cash card ya Banc ABC maana iwapo utapokea REFUND kutokana na uwizi utakao upata wa aina yoyote basi hela yako itarudi lkn ukitumia CRDB hautokaa uione hiyo REFUND utajaza FORM mpaka zitajaza file kubwa lkn hela hautoipata ng'ooo
Maneno yangu ni muhimu ukayafuata ili baada ya siku usije hapa kulia maana Import Good inamaanisha a Good can be FAULT,It may break up along the way,It may never reach the destiny in the expected time, and rarely it may never get shipped
Hapo utaitaji kufungua case iwapo utashinda itabidi urudishiwe hela(REFUND) Sasa usipofuata niliyoyasema utajuta
Mm ni mfanyabiashara mdogo tu nafanya imports nakuuza hivo najua vizuri tu
Mkuu hapo mi ntakupinga kidogo maana mimi natumiaga mastercard ya CRDB juzijuzi nilinunua item kutoka kwa seller wa US nikalipia shipping ya USPS First Class Express lkn cha ajabu seller huyu shipping cost akaweka kibindoni akapost item km normal letter hivyo mzigo ukachelewa na ukakosa tracking ilibidi niopen case ktk ebay na nikashinda nikawarefunded kupitia account yangu ya paypal na hela ikawa transfered kwenda acc yangu ya CRDB