Shop bar code needed

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
Habari za asubuhi wakuu!
Niko na jamaa yangu yuki na biashara ya duka na minimarket sasa anatafuta watu wa ICT ili wamuunganishie mfumo wa malipo kwa njia ya barcode.
Kama kuna kampuni au mtu anayefanya hii biashara tafadahli usisite kunitaarifu hata kwa kuweka simu zao au eneo walipo.
Ahsanteni
 
Yaani hii kitu hakuna kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…