Shonda ya mama hii

Mkuu ukiwa addicted ni kama mtu akwambie kuanzia Leo wewe si Daby si rahisi kuacha mazoea
Ni kweli kuacha kazi mwenyewe napiga piga viHeineken ila sio vingi.

Pombe inautamu wake ila ukizidi unaharibu. Shosti kwa mwendo huo kuna siku atavumwa live maana nahisi ile chupa alisema aliiacha jirani.
 
Mkuu ya shost ni noma Heineken itoke chumbani kwako namtoto alijuaje kuwa ni soda ya mama?
 
hivi pombe ilivyo tamu unaanzaje kuacha! Yesu mwenyewe alitengeneza mvinyo watu wakanywaa!! hahahmwambie Clara aendelee kupiga vyomboo kwa raha zake.
 
Haha nakemea mapepo ya aina yoyote yatambaao na yarukayo. Niseme tu kwa jina la yesu shosti mchungaji akimshindwa nitamwombea.

Nipo hapa jirani yenu

Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…