Hawa TRA ile consultancy fee ya Idd Simba (Milion 285) kutoka Simon group wamechukua kodi? Vipi CCM,CUF, TLP wamewadai ngapi????????
kwa nini usianze na kwenye madini tunakochukua asilimia moja halafu uje kwa rais asiyelipa kodi kabisaaaLazima tudhibiti wakwepa kodi ili kukuza uchumi wetu.
Hapa nani alaumiwe? TRA au CHADEMA? Kwani TRA imekuepo kuanzia lini na majukumu yake siku zote ilisahau au ilikuwa wapi tangu 1992 - 2011? Waache unafiki!
Monday, 08 August 2011
NA HAMIS SHIMYE, Gazeti la Uhuru
hizo ni habari za gazeti la uhuru.ndo maana hajataja chanzo.
Usiwe na shaka tunalijua hilo kuwa TRA ni kibaraka wa CCM. Ila tu tunaomba utuwekee hizo taarifa hapa jamvini.Jamaa yangu aliye makao makuu ya CCM Lumumba ananitayarishia document ya kuonyesha kuwa CCM nayo hailipi kodi katika mambo yao mengi sana -- mishahara ya baadhi ya watendaji wake, kodi za majengo, viwanja mbali mbali chama hicho inavyovimiliki etc. Hii itamwagwa kwenye gazeti moja la kila wiki hivi karibuni.
Wananchi msihofu kabisa kuhusu hili, ni ukweli kabisa na itaonyesha kuwa kama vile TAKUKURU, Polisi, etc, TRA nayo inatumiwa na CCM.
<br />Bila shaka chanzo ni gati la uhuru!<br />
Hivi ccm itadaiwa shilingi ngapi enzi za tanu?
<br />njia ya mwongo ni fupi kwa hiyo wala msishangae miaka yote hiyo TRA ilikuwa wapi kama ni kweli inamaana hata nyie mnatakiwa kushotakiwa maana hamjui majukumu yenu