Shoga ateuliwa kuwa waziri Israel

Shoga ateuliwa kuwa waziri Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel

Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Amir Ohana, kutoka chama cha Natanyahu cha Likud , amemteua kama kaimu waziri wa sheria kufuatia kufutwa kazi kwa mtangulizi wake.

Bwana Ohana, mwenye umri wa miaka 43, ni mfuasi sugu wa Netanyahu , ambaye aliunga mkono hatua za kumlinda waziri mkuu dhidi ya kushtakiwa.

Uteuzi wake unakuja siku kadhaa baada ya bunge kuvunjwa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mpya.
Bwana Netanyahu alimfuta kazi waziri wa sheria aliyekuwepo madarakani , Ayelet Shaked, miezi mitatu iliyopita.

Chama cha Shake ,ambacho kilikuwa sehemu ya serikali ya muungano wa Netanyahu, hakikupata viti vya kutosha kukiwezesha kurejea bungeni katiika uchaguzi wa mwezi Mei.

Waisrael watafanya tena uchguzi mwezi wa Septemba baada ya Bwana Netanyahu kushindwa kupata uungaji mkono wa kutosha kutoka kwa vyama kumuwezesha kuunda serikali ya mpito.

Ikitangaza utuzi wake, ofisi ya waziri mkuu ilisema kuwa Bwana Ohana ambaye ana taaluma ya sheria ni mwenye uelewa mkubwa sana mfumo wa sheria''

Bwana Ohana ni mfuasi sugu wa Netanyahu, na ametumia juhudi zake zote kuunga mkono muswada tata uliomuwezesha waziri mkuu aliyeko madarakani kuwa na kinga ya kutoshtakiwa.

Bwana Netanyahu anachunguzwa kwa madai rushwa na ufisadi na anaweza kushtakiwa miezi michache ijayo .Anakanusha vikali shutuma dhidi yake.

Bwana Ohanani mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja , ambaye anatetea ndoa za jinsia moja, jambo ambalo halitambuliki nchini Israeli isipokuwa kwa wale watakaoamua kufunga ndoa yao nje ya nchi . Mwaka jana apinga muswada wa sheria uliopiga marufuku ubaguzi wa wapenzi wa jinsia moja kwa kuzingatia utambulisho.

Ingawa haki za wapenzi wa jinsia moja zinapingwa na jamii ya Wayahudi nchini Israeli, kwa ujumla taifa hilo limekuwa na mafanikio katika kucommunity zenye sheria inayowalinda wapenzi wa jinsia moja .

_107261282_e1252790-6522-4adb-8571-0473772b8c9a.jpg

Bwana Ohana ni mmoja wa wabunge kadhaa waliotangaza wazi kuwa wanashiriki mapenzi ya jinsia moja na mwaka jana mji wa Israel uliopo karibu na Tel Aviv ulikuwa wa kwanza kuwa na Meya mpenzi wa jinsia moja anayetangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi hayo.

Source:BBC

My take:Atakayeilaani Israel naye atalaaniwa...ukimlaani au ukimkosoa huyu waziri au ukimpinga kwasababu ni shoga pia utalaaniwa maana israel na watu wake ni taifa takatifu la mungu
 
Kama kaamua mwenye kwa hiari yake ashughulikiwe, wewe ni nani umzuie?
 
Taifa teule lishaamua kuunga mkono ushoga.
Wagalatia hawawezi tia neno hapa!
 
Toka lini muyahudi akaitwa amir?

Hiyo ni miarabu iliyokimbia vita Palestine
 
Israel inaongoza kwa kuwa na mashoga wengi Duniani.
Gay parade iliofanyika Israeli mwaka 2018 ulikuwa tishio Duniani. Mashoga 250,000 walihudhuria. Na chama chao ndani ya Telaviv ni kikubwa sana na hakizuiliki tena.

Lkn yote hayo hayana maana manake hili ni taifa teule. Na kila mwenye imani ya kutokea huko LAZIMA ajiute myahudi kiroho
 
Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel

Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Amir Ohana, kutoka chama cha Natanyahu cha Likud , amemteua kama kaimu waziri wa sheria kufuatia kufutwa kazi kwa mtangulizi wake.

Bwana Ohana, mwenye umri wa miaka 43, ni mfuasi sugu wa Netanyahu , ambaye aliunga mkono hatua za kumlinda waziri mkuu dhidi ya kushtakiwa.

Uteuzi wake unakuja siku kadhaa baada ya bunge kuvunjwa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mpya.
Bwana Netanyahu alimfuta kazi waziri wa sheria aliyekuwepo madarakani , Ayelet Shaked, miezi mitatu iliyopita.

Chama cha Shake ,ambacho kilikuwa sehemu ya serikali ya muungano wa Netanyahu, hakikupata viti vya kutosha kukiwezesha kurejea bungeni katiika uchaguzi wa mwezi Mei.

Waisrael watafanya tena uchguzi mwezi wa Septemba baada ya Bwana Netanyahu kushindwa kupata uungaji mkono wa kutosha kutoka kwa vyama kumuwezesha kuunda serikali ya mpito.

Ikitangaza utuzi wake, ofisi ya waziri mkuu ilisema kuwa Bwana Ohana ambaye ana taaluma ya sheria ni mwenye uelewa mkubwa sana mfumo wa sheria''

Bwana Ohana ni mfuasi sugu wa Netanyahu, na ametumia juhudi zake zote kuunga mkono muswada tata uliomuwezesha waziri mkuu aliyeko madarakani kuwa na kinga ya kutoshtakiwa.

Bwana Netanyahu anachunguzwa kwa madai rushwa na ufisadi na anaweza kushtakiwa miezi michache ijayo .Anakanusha vikali shutuma dhidi yake.

Bwana Ohanani mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja , ambaye anatetea ndoa za jinsia moja, jambo ambalo halitambuliki nchini Israeli isipokuwa kwa wale watakaoamua kufunga ndoa yao nje ya nchi . Mwaka jana apinga muswada wa sheria uliopiga marufuku ubaguzi wa wapenzi wa jinsia moja kwa kuzingatia utambulisho.

Ingawa haki za wapenzi wa jinsia moja zinapingwa na jamii ya Wayahudi nchini Israeli, kwa ujumla taifa hilo limekuwa na mafanikio katika kucommunity zenye sheria inayowalinda wapenzi wa jinsia moja .

View attachment 1119918
Bwana Ohana ni mmoja wa wabunge kadhaa waliotangaza wazi kuwa wanashiriki mapenzi ya jinsia moja na mwaka jana mji wa Israel uliopo karibu na Tel Aviv ulikuwa wa kwanza kuwa na Meya mpenzi wa jinsia moja anayetangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi hayo.

Source:BBC

My take:Atakayeilaani Israel naye atalaaniwa...ukimlaani au ukimkosoa huyu waziri au ukimpinga kwasababu ni shoga pia utalaaniwa maana israel na watu wake ni taifa takatifu la mungu
Elewa maana ya Taifa la Mungu, ni wale wanaofanya mapenzi ya Mungu na kufuata sheria Za Mungu,biblia inasema sio wote wamwitao Bwana bwana watakao muona Bwana.
 
Tupambane kwanza na umasikini, maana wengi wenu huko Tanganyika hata kupata milo miwili ni tabu! Lishe duni na unyafuzi vimetamalaki!
 
Back
Top Bottom