Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa

Msaada please nimuepuke huyu jamaa

UPDATES:
1.Nimemueleza wife tayari ingawa ilikuwa ngumu kunielewa

2. Nimewachukuwa washikaji zangu tukamtimbia tukamuweka kati nakumpa makaripio ya kufa mtu na askari pembeni wale watesaji kama mnawajua

3. Kaomba msamaha hatarudia tena

Thanks kwa ushauri wenu
 
Mkemee kabisa shetani. Usithubutu hata kidogo huo uchafu. Mungu akusaidie uweze kushinda hilo pepo.
 
Dah!ni kweli hujui cha kufanya?upo feri alafu unauliza bahari iko wapi?ngoja waje
 
Wanang'ang'ania wanaume hao...sasa sijui ushoga wanautakia nini wakati waoaji wachache.......Do they have to be that 'desperate'...?
..,,Oooh Lord..
 
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa

Msaada please nimuepuke huyu jamaa

Hadi umefikia hatua ya kuoa hujajua namna ya kutatua tatizo hili kama ni la kweli?

Ningekuwa namfahamu huyo mkeo ningemuambia unafanyaga huu mchezo
Kama kweli ungekuwa hupendi ungekuwa umeshapata dawa yake!!
 
Achana nae mweleze ukweli kua huna time na mambo hayo...
 
Hadi umefikia hatua ya kuoa hujajua namna ya kutatua tatizo hili kama ni la kweli?

Ningekuwa namfahamu huyo mkeo ningemuambia unafanyaga huu mchezo
Kama kweli ungekuwa hupendi ungekuwa umeshapata dawa yake!!

Tatizo kawa king'anganizi nimejaribu kutumia njia zote wapi huyu raia bado yupo
 
mweleze mkeo ukweli mshirikiane katika kupambana na hilo jinamizi

then block namba yake

akizidi mpige mkwara

asiposikia mpege vitasa( tahadhari na jela tu, usije ukamrestisha)
 
  • Thanks
Reactions: PLL
Aaaah acha bana kwamba haujui la kufanya mwanaume mzima au ushalamba kaona unamkuna ndo maana anakusumbua asingeanza kukusumbua kama haujagusa,acha huo mchezo mchafu linda heshima ya mkeo lol!
 
namshukuru Muumba.... Mkoa wangu hauna hawa viumbe!

Wakionekana tunawateketeza!
 
Si umwambie hutaki huo upuuzi..umeshindwa hata kumblock?!
 
Tatizo kawa king'anganizi nimejaribu kutumia njia zote wapi huyu raia bado yupo

Sio kweli
Umetumia njia zote?

Unajua maana ya zote wewe?

Njia zote halafu uko hapa......!!!!
Unafanya nini kama umefanya zote??

Mi naona unatafuta kisingizio tu cha kuhalalisha kile ambacho umeshakifanya au unachotarajia kufanya maana kila mtu anajua "aliyetumia njia zote" kuzuia jambo huwa inabidi tu afanye....!!!

Hebu acha utani kijana...!!!!!

You can't fool us...!!!!
CC: Zinduna .....lol!!
 
Back
Top Bottom