Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,095
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula.

Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda.

Kwa shobo zangu nikamwambia “ugali huo utashiba?” Nikamuuliza kama mara tatu lakini akafanya kama hasikii
Mara ya nne ni kama nikamgusa kidgo mana nikahisi labda ni kiziwi, lakini hakutaka hata kushtuka.

Ilionesha clearly kua ameamua kunilia buyu, kisha akaondoka zake, nimefandhaika na kujiona mjinga sana.

Muuza matunda kwakua ananiheshimu, kafanya kama hajaona kilichotokea.

Anyway leo nimejofunza ku balance shobo hasa kwa watu nisiowajua.

Pengine alidhani namtaka kimapenzi au natafuta ukaribu nimtongoze, kumbe sina hata nia hiyo🙌🙌
 
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula.

Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda.

Kwa shobo zangu nikamwambia “ugali huo utashiba?” Nikamuuliza kama mara tatu lakini akafanya kama hasikii
Mara ya nne ni kama nikamgusa kidgo mana nikahisi labda ni kiziwi, lakini hakutaka hata kushtuka.

Ilionesha clearly kua ameamua kunilia buyu, kisha akaondoka zake, nimefandhaika na kujiona mjinga sana.

Muuza matunda kwakua ananiheshimu, kafanya kama hajaona kilichotokea.

Anyway leo nimejofunza ku balance shobo hasa kwa watu niliowajua.

Pengine alidhani namtaka kimapenzi au natafuta ukaribu nimtongoze, kumbe sina hata nia hiyo🙌🙌
Hao ni wateja wa app ya Mange wamefundishwa diet ili kupata wazungu wewe unamletea kiwingu.

Mjifunze Mjini hata kama mtu unamjuwa umekutana naye mitaa mingine piga mikausho tu.

Kikubwa mind your business achana na yasiyokuhusu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1711170137290.jpg
    FB_IMG_1711170137290.jpg
    46.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom