Mama yupo vizuri yeye as yeye hayo unayoona mapungufu mengi ni maelekezo toka juu, na suala la makamera hilo ni kawaida, hakuna asiyeyapendaNi vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
Na ndo mana tumeletewa selfieMama yupo vizuri yeye as yeye hayo unayoona mapungufu mengi ni maelekezo toka juu, na suala la makamera hilo ni kawaida, hakuna asiyeyapenda
Mungu alimuumba mwanamke alikuwa na maana/makusudi yake. Hakumuumba kwa haya, tunalazimisha tu! Hasa kwetu huku wanawake bado (wachache wanaelekea kuwa kama Magreth Thatcher, Golder Mayer?? na wengine wachache) lakini huku mabonde kuinama bado kabisa.Ni vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
[emoji106]Bure kabisa vyeti feki kwa wanyonge kwa bashite katulia tuliii
😱 😵 🙂 Duh!...Bure kabisa vyeti feki kwa wanyonge kwa bashite katulia tuliii
Rudi ukalale ili uamke vizuriMama mpambanaji! Anafaa sana kwenye kabinet ya JPM angekuwa Lowasa ungekuta Sugu moto chini ndo waziribwa elimu wakati hata form four alifeli
That's greatAta Tulia naye alienda kukarabati bweni alilokua analala alivyokua anasoma loleza.
Kazi ya waziri wa Elimu ni kujenga shule? au sielewiNi vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
Majizi chadema watakuja kupinga wakati hata ofisi ya chama chao imewashinda