God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Mtt jojo sio robotNimesimama kama ngongoti
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii makeup inaweza hata kubadilisha jinsia ya Mtu...kha!!
Chumbani bingiri bingiri samasoti!Mtt jojo sio robot
Hayo marangirangi ndo vtendea kazi vyake bila shakaHuwa cjui kwann anapaka hayo mawanja na marangirangi mekundu,.kama kigagula khaa!!!
duh! aisee mpaka pua imenyooshwa Tunaibiwa sana[emoji13]
Mmh,.me vinantishaa[emoji26] jamaniiHayo marangirangi ndo vtendea kazi vyake bila shaka
Shkamoo makeupMtu mmoja huyo ndugu....ni mambo ya make up tu
HahahaHuwa cjui kwann anapaka hayo mawanja na marangirangi mekundu,.kama kigagula khaa!!!
Hii makeup inaweza hata kubadilisha jinsia ya Mtu...kha!!
Unantekenyaga ukinyonga salomekioo hakidanganyi
AmEjipodoa amepodoka