shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by togo, Jan 14, 2011.

 1. t

  togo Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kesho jumamosi professa Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu watakuwa na kongamano endelevu juu ya katiba mpya katika ukumbi wa nkurumah chuo kikuu kuanzia saa nne wote mnakaribishwa hata kama sio wana jamii ya mlimani,natamani hata Dk.Yusuf makamba angekuwepo
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ...msikose kuwatumia invitation letter Makamba, Kombani na AG then wakikosa waambieni wahudhuriaji kwamba mliwa-invite lakini hawakuja
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee ningependa kujua muda utakuwa ni saa ngapi???
   
 4. V

  Vinmanya New Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndo umakini wa wasomi tunaoutaka...si kuendekeza miropoka ukweli ni kuwa hawa jamaa watawaprove wrong wale wanaviraka kama werema
   
 5. t

  togo Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muda ni saa nne kamili asubuhi wadau wa katiba wote wameshaalikwa AG,na waziri wa sheria na katiba
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  I will be there!!
   
 7. n

  niweze JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Warioba Yumo? How About Malecela? JK Hawezi Kuja Kabisa Mlimani Hii Nina Uhakika...
   
Loading...