Shishi aja kivingine

Sisi tumechukua ya jina la mtu...
Kama Trump alivyo strong anakomaa,na shishi ni hivyo hivyo

Maana nyingine ya trump ni karata yenye thamani ya juu kabisa kwenye aina ya mchezo wa karata kulinganisha na karata nyingine (kamusi ya kiingereza).
 
Safi sana kiuno cku hizi hwkilupi hali ngumu apo atapatapata hata kama kidogo all in all big up shishi baibe
 
Dah..!!! kiuno hakilipi tena.....??? Magu kiboko...
 
Kazi nzuri,nimeipenda.Hongera Shishi...
Siku nikiwa na kidate nitapendekeza tuje kwako tukuungishe [emoji12]
I see ninamuona dada wa open kitchen alivyowekeza kwenye hii biashara, kweli inalipa, uwe tu mmbunifu.
 
Vipi msambwanda wake haulipi sikuhizi???

Kweli baada ya mwaka tutaona mengi.
Shkamoo baba j
 
Huyu si ndio alikuwa anapiga kampen na chama flan hivi kwenye uchaguzi.... Hahahahaha hata bure siwezi kula chakula chake
 
Amefanya vizuri kujituma katika ujasiriamali, asikate tamaa. Kwenye ujasiriamali kuna changamoto za hapa na pale hasa siku/miezi ya mwanzoni.
Delivery cost ni bei gani ukiwa upo nje ya kijitonyama mfano nipo kimara au mbezi.
 
Basi sawa, nitapita hapo weekend... kwanza nam-feel Shishi, sema dah, hili jina la Shilole huwa linanikumbusha mbali sana!!!
 
scorpio me Hebu niulizie kama wapo open mpaka muda gani. Nataka nipitie hapo jioni ya saa 3 nimuungishe. Sijui nawe ntakukuta tuelekee nyumbani....... Au utakuwa ushaondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…