Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Danny greeny

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
3,856
1,645
Leo ni mechi ya Simba SC na Coastal union inayochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
===

Nukuu Muhimu
  • Timu ya Coastal union kutoka walianza kuandika bao la kuongoza mnamo dakika ya 19 kupitia kwa Sabo kupitia mpira wa adhabu ndogo ambao alifanikiwa kuukwamisha moja kwa moja nyavuni.
  • Baada ya kurudi mapumziko Simba wanafanya mabadiliko mawili kwa Awadhi Juma na Hamis Kiiza kuchukua nafasi za Ndemla na Majavi.
  • Dakika ya 49 Simba wanasawazisha bao kupitia kwa Kiiza baada ya kuunganisha mpira mzuri kutoka mpira kutoka kwa Ajib.
  • Kuelekea lala salama, Simba wanapata kadi nyekundu dakika ya 83 baada ya Lufunga kumuangusha Shiboli katika eneo la hatari hivyo kupata kadi nyekundu na coastal kupata penati.
  • Dakika ya 85, Coastal wanaandika bao la pili kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Sabo ambae ameandika mabao mawili kwa siku ya leo.
  • Mpira umeisha kwa hitimisho la Simba kufungwa magoli mawili kwa moja na Coastal Union.
 
simba 1 coastal union 2. Bao la penati huku mchezaji wa simba akitolewa na kadi nyekundu baada ya kumkwatua mchezaji wa coastal union aliyekuwa anakwenda kuona nyavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom