Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,910 Reaction score 6,503 May 4, 2023 #1 Kama ushirikiano ungeweza kukuzwa zaidi katika EAC, ingekuwa ni jawabu kwa matatizo ya usalama yaliyopo DRC au South Sudan na Somalia. Hata Kenya sasa hivi kuna instability because of our nonchalant attitude towards the EAC.
Kama ushirikiano ungeweza kukuzwa zaidi katika EAC, ingekuwa ni jawabu kwa matatizo ya usalama yaliyopo DRC au South Sudan na Somalia. Hata Kenya sasa hivi kuna instability because of our nonchalant attitude towards the EAC.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,325 May 4, 2023 #2 Bado tuna viongozi wa hovyohovyo huko Rwanda, nadhani ndio maana Kila nchi inaenda kwa tahadhari