Shirikisho EAC janja ya nyani!

Shirikisho EAC janja ya nyani!

Tutake tusitake ni lazima tushirikiane na wenzetu kuleta maendeleo hatuwezi kuwa kisiwa. Suala la msingi ni kuhakikisha kuwa ushirikiano hauingii moja kwa moja kwenye maslahi ya nchi yetu.
 
Na hapo ndio wanapopataka jirani zetu....acha waungane na muungano wao wa kinafiki.!!
 
Back
Top Bottom