Ukijitambua mwenyewe ni rahisi kumtambua adui yako theni ushindi. Taka ustake, hakuna shirikisho pale bila ya Tz. Hawa jamaa imewaudhi sana Tz kukataa kujiunga nao so wanacho kifanya ni sawa na mtu anae jamba kwa hasira kumkomoa mbaya wake matokeo yake anajinyea kutokana na kutumia ngvu nyingi kujamba. Ona raia wao walivo jazana kwetu. Tutaendelea kuwathamini kama majirani zetu, tutapiga nao story barazani ila chumbani hawakaribishwi.Dua la kuku alimpati mwewe. watu wako wanapiga kazi kuinua uchumi wa nchi wanachama.
wewe uko unajifariji .
Dua la kuku alimpati mwewe. watu wako wanapiga kazi kuinua uchumi wa nchi wanachama.
wewe uko unajifariji .
Money Stunna ni mhamiaji haramu?
Money Stunna ni mhamiaji haramu?
kENYA IANGALIE VIZURI UAMUZI WAKE WA KUUNDA SHILIKISHO. nCHI KAMA RWANDA, uGANDA NA bURUNDI HAZINA UTAWALA WA KIDEMOKRASIA, HIVYO HUENDA KENYA IKAPATA MATATIZO YALE YALE YALIYOMPATA MKONGOMAN KABILA NA BANYAMULENGE.Wakati Kenya,Uganda, Rwanda na Burundi wamo katika mazungumzo ya kuunda shirikisho la kisiasa na kuitema kando Tanzania, ni wazi kabisa hiyo ni ujanja wa kuitisha Tanzani ili ikurupuke na kujiunga kichwakichwa kwa hofu ya kutengwa. Haiwezi kuwa EAC pasipo Tanzania. Kinacho fanyika sasa ni hasira za mkizi za hawa viongozi masalia walafi wanao waburuza raia wao. Lazima ifahamike wazi kuwa mlengwa mkuu ktk kile kilicho tarajiwa kuwa Shirikisho la Afrika Mashariki si mwingine bali Tanzania na rasilimali zake. Asilimia kubwa ya Wanachama wa EAC mathalan Rwanda,Burundi hawana cha maana kuchangia zaidi ya kutegemea kufaidi fursa na rasilimali za watanzania. Nawapongeza Serikali ya Tanzania kwa kutokukurupukia Shirikisho la "kichovu" na badala yake mkakati uelekezwe SADC kwenye mataifa yenye "akili" na nia ya dhati kuwaondoa wanachama katika umaskini. Fikiria mfano ambapo EAC mnaondoa vikwazo vya usafiri na makazi: Watutsi wote, wakenya, warundi na waganda watalundikana Tanzania kuliko nchi yeyote katk umoja huu wa kinafiki. Mfanö rahisi ni utitiri wa wahamiaji haramu kutoka mataifa hayo ambao hawataki kurudi katika nchizao za halali. Kama vikwazo havijaondølewa hali ndio hii, je pasina vikwazo wakaachiwa waingie tu hali itakuwaje? Je, mtanzania anaweza anaweza kupata ardhi Kenya, Rwanda, burundi kirahisi, ilhali raia husika familia yake haijawahi kumiliki ardhi? Angalia mfumo/aina ya utawala/serikali ya Kigali na Kampala(dictatorship form of governments) kisha linganisha na Kenya na Tanzania hapo utaona ni sawa na kufuga kuku,kunguru na bundi kwenye tundu moja kitu kisichøwezekana. Wacha "waungane" japo muungano wao hautadumu maana ni mungano unao weza kufananishwa na sherehe ya fisi, wageni watarajiwa wamo mbuzi, swala, simba na nyka. "URAFIKI WA MASHAKA"
Wewe sio Mtanzania tumeshakujua siku nyingi. Tunakufanyia utaratibu tutakunasa tu na kukurudisha kwenuDua la kuku alimpati mwewe. watu wako wanapiga kazi kuinua uchumi wa nchi wanachama.
wewe uko unajifariji .
Ukijitambua mwenyewe ni rahisi kumtambua adui yako theni ushindi. Taka ustake, hakuna shirikisho pale bila ya Tz. Hawa jamaa imewaudhi sana Tz kukataa kujiunga nao so wanacho kifanya ni sawa na mtu anae jamba kwa hasira kumkomoa mbaya wake matokeo yake anajinyea kutokana na kutumia ngvu nyingi kujamba. Ona raia wao walivo jazana kwetu. Tutaendelea kuwathamini kama majirani zetu, tutapiga nao story barazani ila chumbani hawakaribishwi.
Wakati Kenya,Uganda, Rwanda na Burundi wamo katika mazungumzo ya kuunda shirikisho la kisiasa na kuitema kando Tanzania, ni wazi kabisa hiyo ni ujanja wa kuitisha Tanzani ili ikurupuke na kujiunga kichwakichwa kwa hofu ya kutengwa. Haiwezi kuwa EAC pasipo Tanzania. Kinacho fanyika sasa ni hasira za mkizi za hawa viongozi masalia walafi wanao waburuza raia wao. Lazima ifahamike wazi kuwa mlengwa mkuu ktk kile kilicho tarajiwa kuwa Shirikisho la Afrika Mashariki si mwingine bali Tanzania na rasilimali zake. Asilimia kubwa ya Wanachama wa EAC mathalan Rwanda,Burundi hawana cha maana kuchangia zaidi ya kutegemea kufaidi fursa na rasilimali za watanzania. Nawapongeza Serikali ya Tanzania kwa kutokukurupukia Shirikisho la "kichovu" na badala yake mkakati uelekezwe SADC kwenye mataifa yenye "akili" na nia ya dhati kuwaondoa wanachama katika umaskini. Fikiria mfano ambapo EAC mnaondoa vikwazo vya usafiri na makazi: Watutsi wote, wakenya, warundi na waganda watalundikana Tanzania kuliko nchi yeyote katk umoja huu wa kinafiki. Mfanö rahisi ni utitiri wa wahamiaji haramu kutoka mataifa hayo ambao hawataki kurudi katika nchizao za halali. Kama vikwazo havijaondølewa hali ndio hii, je pasina vikwazo wakaachiwa waingie tu hali itakuwaje? Je, mtanzania anaweza anaweza kupata ardhi Kenya, Rwanda, burundi kirahisi, ilhali raia husika familia yake haijawahi kumiliki ardhi? Angalia mfumo/aina ya utawala/serikali ya Kigali na Kampala(dictatorship form of governments) kisha linganisha na Kenya na Tanzania hapo utaona ni sawa na kufuga kuku,kunguru na bundi kwenye tundu moja kitu kisichøwezekana. Wacha "waungane" japo muungano wao hautadumu maana ni mungano unao weza kufananishwa na sherehe ya fisi, wageni watarajiwa wamo mbuzi, swala, simba na nyka. "URAFIKI WA MASHAKA"
Wewe sio Mtanzania tumeshakujua siku nyingi. Tunakufanyia utaratibu tutakunasa tu na kukurudisha kwenu
Hizo hela huna,hahahaah hauna uwezo huo ukifanikiwa nakupa 100 million tzsh.
yani unataka mtazamo tufanane wote.aliwezekani ilo
Anayewaza uraisi hujamuona Mkuu? Yupo anazunguka nchi nzima kashaanza kampeni mapema sana.Too much talking kwa watanzania, too much doing kwa wenzetu. Mzee Sitta pale Yuko kwa maslahi binafsi anawaza urais 2015 badala ya kupeleka hizi ajenda mezani. Huyu mzee Samwel Sitta Ni janga la kitaifa. Ndo matatizo ya JK kuweka washkaji katika wizara muhimu wanashindwa kutimiza wajibu.