LHRC
New Member
- Mar 3, 2026
- 1
- 6
LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku.
Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako kuhusu hali ya haki za binadamu nchini.
Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.
Kushiriki kwenye tathmini hiyo bonyeza hapa👇👇
docs.google.com

Tathmini Fupi Kuhusu Hali ya Haki za Binadamu Tanzania
Lengo: Kupata mitazamo na uzoefu wa wananchi kuhusu hali ya sasa ya haki za binadamu nchini Tanzania. Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.
docs.google.com