SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUANGUKA KWA NGUZO 8 MKOANI ARUSHA.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa wilaya ya Monduli mkoani Arusha kuwa, leo Jumapili Januari 24, 2016 majira ya saa 10.20 jioni hii kuna nguzo 8 za umeme mkubwa zimeanguka kutokana na upepo mkali ulioambatana na mvua huko Monduli.
Hivyo wilaya ya Monduli kwa sasa haina umeme.
Mafundi wameelekea eneo la tukio kwa ajili ya kunyanyua nguzo hizo na kuvuta upya waya.
Umeme utarejeshwa baada ya kumalizika kwa kazi hiyo.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.