Shirika la umeme la ghana lapewa masharti

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Jana nilisikiliza BBC walitangaza kuwa taasisi ya Public Utilities Regulatory Commission ya nchini GHANA wamepitisha sheria ya kuwa shirika la umeme la nchi hiyo haliruhusiwi kukata umeme zaidi ya masaa 45 kwa mwaka mzima na kuwa hata ikikata chini ya hayo masaa 45 kwa mwaka hairuhusiwi wakate zaidi ya mara sita (6) kwa mwaka mzima.

Wamesema hii haijumuishi kukatika umeme kwa bahati mbaya (kama nguzo kuanguka nk) lakini endapo kukatika umeme kwa bahati mbaya kukitokea (kwa sababu ya vitu kama nguzo kuanguka, transfoma kuharibika) basi shirika hilo litashitakiwa kwa hasara zitakazojitokeza.
 
Hii ni bcos shirika la umeme la ghana ni la uma, tANESCo ni la mafisafi viongozi wa nchi hii, haliwajibishwi kwa ujinga, unyanganyi, uhujumu na ufisadi wanaufanya dhidi ya wateja wao.
 
Back
Top Bottom