Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Leo hii majengo makubwa ya ofisi sio issue tena watu wanafanya kazi from home, hii ni dunia ya technology, sio kujenga majengo makubwa wakati katibu mkuu anaweza kufanya kazi kwenye laptop yake nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani zile ndege ni mbovu au kichwa chako ndo kibovu kinashindwa kuelewa kitu kizima na kibovu.

Inategemeana sana na uchunguzi wako ila kama hujafanya uchunguzi kuhusu mimi au ndege basi vichwa vyako ni vibovu pamoja na ndege
 
Hapa tunaweza tukaambiwa tukale nyasi lakini ndege iwe angani hata kwa abiria moja
 
Hii statement yako inadhihirisha kuwa unaugua ugonjwa wa kidele

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe na ni mgonjwa!!! Ata kwa akili ya mtoto wa darasa la saba anajua ccm ni chama kikubwa cha upinzani, ila sio kampuni ya uwekezaji sasa leo iweje itengeneze kiwanda cha tooth pick? Ebu acha kuwa nyumbu kwa muda tumia akili zako na sio za ufipa
 
Jiwe hawezi kukubali ATCL ifilisike kwa gharama yeyote ile kama ikibidi wizara zikose hela ya bajeti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…