PreGE2025 Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto

PreGE2025 Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwenye vituo saba vilivyopo mkoani Shinyanga ili nao washerehekee Sikukuu ya Eid el Fitr kwa furaha.

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwe...jpg
Zawadi hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Makao ya Watoto Yatima yaliyopo Bushushu na Makazi ya Wazee Wenye Mahitaji Maalumu Kolandoto yaliyopo Kata ya Kolandoto.

Akizungumza na TBC baada ya kukabidhi zawadi hizo RC Macha amesema Rais Samia Suluhu Hassan anatambua, anathamini na kuheshimu uwepo wa jamii hiyo na kwamba anawapenda na kuwajali wakati wote.

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwe...jpg
 
Mbuzi mweusi tii kama wa kafara vile
 
Vijana hatupewagi zawadi wawe wanatupa hata alfu alfu ya bundle!
 
Back
Top Bottom