Shinyanga: Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwadui, amtundika mimba mwanafunzi darasa la sita

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,689
55,662
d4058a7e-0be9-4f8e-8ace-a6c8ac7b9050.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephina Matiro ameliagiza jeshi la polisi kumkamata aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Mwadui Kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumpaa mimba mwanafunzi wa darasa la sita na kumtelekeza.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kupinga mimba na ndoa za utotoni ulioandaliwa na shirika la Agape linalohusika na kupinga vitendo hivyo uliofanyika mjini Shinyanga, Mtiro alilitaka jeshi la polisi kuhakikisha wanamtia mbaroni mwalimu huyo.
“Hatuwezi kuendelea kulea vitendo viovu vinavyofanywa na walimu kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, lazima tumtie hatiani ili iwe fundisho kwa walimu wengine wenye tabia kama za kwake,” alisema Mtiro.

Akizungumzia tukio hilo, mama wa mzazi wa binti huyo, Anna Masanja alisema mwanae mwenye umri wa miaka 12 amekatishwa masomo akiwa darasa la sita baada ya kupewa mimba na mwalimu.
 
Duuuh mbona kabinti kenyewe kadogo sana, si alikuwa anajichubua kila leo mweeeee
 
Kwani huyo mtoto?
Hawa mnaowaita watoto siku hizi wanajua mambo makubwa mpaka unaogopa.
Wapo mitaani kwetu humu humu yani hawakamatiki.
 
Yani wewe mwalimu wewe unabahati sana kutokona na sheria ya makosa ya mtandaoni kwani nilitaka kukutukana tusi jipya kabisa ambalo sijawahi kumtukana mtu yeyote tangu nizaliwe miaka 35 iliyopita. Yani unakabidhiwa mtoto wa watu ili umfundishe halafu wewe unamfanyia ubazazi, kweli ?!!!!
 
View attachment 355771
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephina Matiro ameliagiza jeshi la polisi kumkamata aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Mwadui Kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumpaa mimba mwanafunzi wa darasa la sita na kumtelekeza.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kupinga mimba na ndoa za utotoni ulioandaliwa na shirika la Agape linalohusika na kupinga vitendo hivyo uliofanyika mjini Shinyanga, Mtiro alilitaka jeshi la polisi kuhakikisha wanamtia mbaroni mwalimu huyo.
“Hatuwezi kuendelea kulea vitendo viovu vinavyofanywa na walimu kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, lazima tumtie hatiani ili iwe fundisho kwa walimu wengine wenye tabia kama za kwake,” alisema Mtiro.

Akizungumzia tukio hilo, mama wa mzazi wa binti huyo, Anna Masanja alisema mwanae mwenye umri wa miaka 12 amekatishwa masomo akiwa darasa la sita baada ya kupewa mimba na mwalimu.

Juzi nilisoma mahali habari za mwalimu mmoja wa kike (24yrs) huko USA aliyeshtakiwa kwa kuwa na mahusiano ya kingono na mwanafunzi wake wa kiume (13yrs)! Inadaiwa kuwa wazazi wa mvulana walifahamu juu ya mahusiano hayo na waliyabariki kwa kumtambua huyo mwalimu kama mpenzi wa mtoto wao! Habari zilipovuja kwa wanafunzi wengine ndio maneno yakaanza mpaka yakafika kwa uongozi wa shule na hatimaye vyombo vya dola! Mwalimu anashtakiwa kwa kosa la "child abuse"! Kuna uwezekano mkubwa wa wazazi nao kuunganishwa kwenye mashtaka kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki dhidi ya udhalilishaji kijinsia kwa mtoto wao!
 
Unaweza kuta mtoto kamchokoza ticha

Na kweli mtoto alimtongoza ticha kwa muda mrefu ticha akampotezea, baada ya mtoto kususa kwenda shule ticha akamaindi akamfuatilia kulikoni! Alimpitia nyumbani akampakia kwenye gari lake wakazunguka mjini na mwisho wa siku ticha akakubali kutoa mzigo, na hapo game likaanza! Lakini hilo halimwondelei ticha hatia ya ku mu-abuse mtoto kwa kungoneka naye!
 
Back
Top Bottom