Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni maarufu kwa shughuli za kilimo na ufugaji, pamoja na madini, hasa almasi. Mkoa huu una historia ya utajiri wa madini, hususan kupitia mgodi maarufu wa almasi wa Mwadui.
Idadi ya Watu
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Shinyanga ni 2,241,299; wanaume 1,102,879 na wanawake 1,138,420, na ina wilaya 5 ambazo ni Shinyanga Manispaa, Shinyanga Vijijini, Kahama Mjini, Kahama Vijijini, UshetuIdadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 6 ya uchaguzi:- Jimbo la Shinyanga Mjini
- Jimbo la Solwa
- Jimbo la Kahama Mjini
- Jimbo la Msalala
- Jimbo la Kishapu
- Jimbo la Ushetu
Mkoa wa Shinyanga ulishiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiliibuka na ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa huo.
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Hayati John Pombe Magufuli, alipata kura nyingi zaidi kulinganisha na wapinzani wake.
Katika uchaguzi wa Ubunge, wagombea wengi wa CCM walipita bila kupingwa na wengine kushinda kwa kura nyingi dhidi ya wapinzani wao huku wakiwa na ushindi wa 100%.
Uchaguzi wa Madiwani, (CCM) walipata ushindi mkubwa kwenye nafasi za madiwani ikifanikiwa kushinda kata nyingi. Hii ilitokana na upinzani kukumbwa na changamoto nyingi, zikiwemo wagombea wao kuenguliwa kutokana na matatizo ya kisheria au kutokidhi vigezo
Kulikuwa na malalamiko kutoka kwa vyama vya upinzani kama vile CHADEMA na ACT-Wazalendo kuhusu kutokuwepo kwa uwazi na haki katika mchakato wa uchaguzi.
Updates
December, 2024
- Kuelekea 2025 Ntobi aomba radhi kwa kauli zake kuhusu Tundu Lissu
- Kuelekea 2025 Emmanuel Ntobi: Nimeonewa kwa sababu namuunga mkono Mbowe kwenye Uchaguzi wa chama chetu
February
- Pre GE2025 - Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!
- Pre GE2025 - Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM- Mhandisi James Jumbe, ajinasibu kuwa CCM itashinda 2025
- Pre GE2025 - Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu
- Pre GE2025 - Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa
- Pre GE2025 - Mbunge wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi amuombea kura za Urais Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu. CCM mmeanza kampeni?
- Pre GE2025 - Medard Kalemani: CCM Chato tunahita utulivu na umoja kwenye kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi
- Pre GE2025 - Shinyanga: Maafisa mikopo watajwa kusababisha CCM kuchukiwa na wafanyabiashara
- Pre GE2025 - Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10
- Pre GE2025 - Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga: Wanasiasa msiandae futari zenye asili ya rushwa kwa ajili ya Uchaguzi
- Pre GE2025 - Kamati yapitisha shauri la Jimbo la Missenyi kubadilishwa jina na kuwa Jimbo la Nkenge ili kuleta "muunganiko" wa kiutawala
- Pre GE2025 - Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili
- Pre GE2025 - Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga: Wanasiasa msiandae futari zenye asili ya rushwa kwa ajili ya Uchaguzi
- Pre GE2025 - Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga
- Pre GE2025 - Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga
- Pre GE2025 - Leseni 1356 za madini zatolewa Kahama, Wachimbaji wahamasika kuachana na Zebaki
- Pre GE2025 - Wananchi wakabidhi zawadi ya Mbuzi kwa Mbunge Cherehani kwa kuwapelekea Huduma ya Maji
- Pre GE2025 - Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu
- Pre GE2025 - Ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga wafikia asilimia 75 ukitarajiwa kukamilika Juni 10, 2025
- Pre GE2025 - Milioni 192.8 zatumika kutatua kero ya maji Ushetu
- Pre GE2025 - Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi
- Pre GE2025 - Shinyanga: Wasira atahadharisha wanaotaka kununua nafasi za ubunge, watumie pesa hizo kufungua biashara maana hawawezi kuhonga wajumbe wote 4,800
- Pre GE2025 - Shinyanga: Wasira atahadharisha wanaotaka kununua nafasi za ubunge, watumie pesa hizo kufungua biashara maana hawawezi kuhonga wajumbe wote 4,800
- Pre GE2025 - Kahama: Stendi yafungwa kupisha mkutano wa CCM chini ya Mzee Wasira
- Pre GE2025 - Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto
- Pre GE2025 - Kawaida: Tuwakate viongozi wanaotaka kuigawa CCM
- Pre GE2025 - Shinyanga: Viongozi 50 wa NCCR Mageuzi wahamia Alliance for Democratic Change (ADC)
- Pre GE2025 - John Heche: John Mrema amekimbia na Akaunti za YouTube na X za Chama, tuligundua kila wiki analipwa Tsh. Milioni 3
- Pre GE2025 - Kawaida: Tuwakate viongozi wanaotaka kuigawa CCM
- Pre GE2025 - Kawaida atinga na 'greda' Msalala kuhutubia wananchi
- Pre GE2025 - Katibu wa CHADEMA kanda ya ziwa awataka viongozi wa dini kutoyumbishwa na wanasiasa
- Pre GE2025 - Amos Makalla: 'No Reforms No Election' yapigwa na CHADEMA, vyama vingine na Watanzania nao hawaitaki
- Pre GE2025 - ACT Wazalendo: Tunazijua Mbinu za CCM, Tutawakabili Watakavyokuja
- Pre GE2025 - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar: Ni aibu mwanamke kuteswa chini ya utawala wa Rais mwanamke
- Pre GE2025 - Fadhili Salmon atia nia Ubunge Jimbo la Itwangi, Shinyanga
- Pre GE2025 - Ahmed Salum aomba ridhaa ya kuendelea kulitumikia Jimbo la Solwa
- Pre GE2025 - Jeremiah Jilili ajitosa sasmi Ubunge Jimbo la Solwa, amvaa Mbunge Ahmed Salum kwa mara ya Pili
- Pre GE2025 - Salome Makamba amechukua fomu kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Pre GE2025 - Magambo Samwel ajitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Kishapu
- Pre GE2025 - Mtendaji Mkuu wa TANROADS afanya ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati
- Pre GE2025 - Abdallah Nyaligwa, anaishi Uingereza, lakini ajitosa kuwania ubunge Jimbo jipya la Itwangi
- Pre GE2025 - Zainabu Hassani ajitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Shinyanga
- GE2025 - Mwenyekiti wa UVCCM Shinyanga Mjini, Abdulaziz Sakala, arejesha Fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Mjini
- GE2025 - Shangwe Ayo: Tunajua mmejazwa uoga! Na huu ndio mtaji wa CCM na Serikali
- PreGE2025 - Abdul Nondo: Kwanini tusidhani 'waliosusa' Uchaguzi wanatumika na CCM
- GE2025 - Watia nia wa CCM wanaswa live wakigawa vitenge na fedha kwa wajumbe
September
October
- GE2025 - Makonda aingia mtaa kwa mtaa Shinyanga kusaka kura za Samia
- GE2025 - Samia: Mkiweka madiwani wa vyama vingine, maendeleo yatachelewa
- GE2025 - Makonda awaita wenye hoja za msingi kwenye mdahalo wa katiba mpya
- GE2025 - Maria Paulo aeleza furaha baada yakupiga SELFIE na Rais Samia
- GE2025 - Vijana wa Shinyanga wametusaliti nilijua tumeanza kazi kumbe wamelipwa
- GE2025 - Vijana wa Shinyanga wametusaliti nilijua tumeanza kazi kumbe wamelipwa
- GE2025 - Samia ashangazwa na idadi ya watu Shinyanga kwenye kampeni yake leo
- GE2025 - Paul Makonda: Oktoba 29 hakuna maandamano, wote wanaenda kupiga kura
- GE2025 - Samia: Mkiweka madiwani wa vyama vingine, maendeleo yatachelewa
- GE2025 - Salome Makamba: Rais Samia walipotaka kukuchokoza, walishia kwenye mikono ya sheria wanalia wameonewa
- GE2025 - Georges Busungu (ADA TADEA): Nikiwa Rais kila mfungwa atapata posho ya kila mwezi
- GE2025 - Charles Gabriel: Jitokeze mapema kuhakiki majina yako kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 29
Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
- MKOA WA SHINYANGA
Jimbo la Shinyanga Mjini
1) Stephen Julius MASELE
2) Patrobas Paschal KATAMBI
3) Abubakar Gulamhafiz MUKADAM
4) Eustard Athanace NGATALE
5) Hassan Athuman FATIU
6) Hosea Muza KARUME
7) Paul Joseph BLANDY
Jimbo la Kishapu
1) Lucy Thomas MAYENGA
2) Boniphace Nyangindu BUTONDO
3) Bonda William NKINGA
4) Dotto Salum KWIGEMA
5) George Martine JIMISHA
6) Madaha Mayega CHABBA
7) John Ngano NHYAMAH
Jimbo la Solwa
1) Ahmed Ally SALUM
2) Sosthenes Julius KATWALE
3) Selemani Emmanuel CHOKALA
4) Zinguji Mayala MACHWELE
5) Leonard Nduta LUKANYA
6) Alphistone Michael BUSHI
7) Constantine Joseph BUDAGA
Jimbo la Itwangi
1) Azza Hillal HAMAD
2) Chrispine Myeke SIMONI
3) Sebastian Pastory MALUNDE
4) Fred Romanus SANGA
5) John Elias NTALIMBO
6) Christian Misobi BUDOYA
7) Helena Daudi MBULI
8) Anna James NG’WAGI
Jimbo la Kahama Mjini
1) Sweetbert Charles NKUBA
2) Francis Fikili MIHAYO
3) Jumanne Kibela KISHIMBA
4) James Daudi LEMBELI
5) David Anyandwile KILALA
6) Juliana Kajala PALLANGYO
7) Benjamini Lukubha NGAYIWA
Jimbo la Ushetu
1) Emmanuel Peter CHEREHANI
2) Valelia Wilson MWAMPASHE
3) Mussa Shilanga MISUNGWI
4) Machibya Mwambilija DOFU
Jimbo la Msalala
1)Mabula J. MAGANGILA
2) Ezekiel MAIGE
3) Ambrose N. NAKALE
4) Ramadhani SHIGANZA
5) Edson Simba MASONDOLE
6) Simon James LUFEGA