shindano la NYAMA CHOMA

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
GTs mnaliongeleaje hili?
binafsi nimeona ni ubunifu mzuri haswa kwa upande wa kuboresha mazingira ya mambo yetu ya nyama choma na ndovu baridii!
 
Litafanyika lini na wapi, nije vifaa kamili? kifupi limetulia.
 
Huwa lipo na safari lager ndo waandaaji au unataka kuaandaa wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…