ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Nashangaa ama labda wanatafuta vipaji
Bishanga mwenye bendi yake naona ametia timu..Nashangaa ama labda wanatafuta vipaji
Hebu tangaza zawadi kwanza kabla sijaanza zote la gym ya sauti....
Hebu tangaza zawadi kwanza kabla sijaanza zote la gym ya sauti....
naomba mwalimu msaidizi Mentor ingia hapa uanze kazi ya kuhakiki, kuangalia wimbo wenye mahadhi ya kibantu kwa washiriki wa shindano la kumtafuta mwimbaji, mtunzi na wimbo bora wa mwaka 2013 wa CHITCHAT
mtu ajitolee kuandika mashairi mimi nitaingiza vokosorry jamani nimewasahau mabestito hawa sunshire, The secretary, laizer, Eli79, stevoh, Mwali, AshaDii, Nicas Mtei, Mr. rocky, Gwamahala, @Rular swagga, Zitto, Pascal Mayalla, Preta na FP kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mwimbaji bora wa cc hapa hivyo anza kuandaa wimbo wako hapa uandike unaohusu kuisifia ubora wa chitchat na udhaifu wake hapa jf samahanini sana