Mmmh! Ndo hang over zinavyoanzaga za weekend hivi!!
Hii kweli kali
shante!![h=6]mama akimwambia mwanae, mwanangu! Baba yako cjui dhehebu gani? Maana mbele yumo, nyuma yumo! Nashindwa kumuelewa kabisa mtoto akamjibu labda ni mfuasi wa dhehebu la david cameroun![/h]
Duh..si mchezo .nakumbuka nilishhudhuria shindano flani la ugumu basi kuna jamaa alijamba wimbo wa taifa na akawa mshindi
ni nzuri inafurahisha lakini umekosea kuicopy title nyingine na ujumbe mwengine..:A S embarassed:smartboy